Mashambulizi dhidi ya Magufuli: Michezo au upepo wa kisiasa?

Ndiyo sikatai,ila nchi inakuwa ya vijembe vijembe vingi kuliko uchapakazi.
Hata wao wana haki ya kuongoza kama sisi.

Mungu alituumba wote sawa na kwa kufanana naye, meaning we were both given intellect and will.

Ukiacha masuala machache ya kibayolojia na gender issues; tupo nao sawa na wana haki ya kuongoza sawa kabisa na sisi.

Tuwatendeeni haki.
 
Nikuulize swali dogo tu, ni nchi gani duniani ilipata ukombozi kupitia mwanaharakati mwanamke au rais mwanamke?
 
You're speculating, dear learned brother.
Punguza mahaba! Those are not speculations,the scenario is very clear to the effect that even a layman can make a simple analysis and come up with the finding that it was master minded by state similar to a Saud journalist'sdeath in Instambul
 
Na bado. Kama yeye alivyosema wenzake kuwa walifanya mambo ya hovyo.
 
Nikuulize swali dogo tu, ni nchi gani duniani ilipata ukombozi kupitia mwanaharakati mwanamke au rais mwanamke?
Sijui kama wapo.

Ila kuna wanawake wengi waliwasaidia kwa karibu hao viongozi wa kiume kwenye kupigania uhuru.

Tanganyika tuna akina Bi. Titi Mohamed wakati Afrika Kusini kuna akina Bi. Winnie Mandela na Bi. Oliva Tambo.
 
Shetani lazima ashambuliwe na kila mwenye akili timamu. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Ujinga nimzigo,mnapambana na marehemu kipumbavu sana hojazenu ninyepesi kiasi kwamba hata asipokuwepo mtuyoyote anaweza kuwapinga kirahiai sababu 24/7 mkishindwa hoja mnaanza kutaja watu wawili ama watatu lisu anaeficha ushahifi "dereva" na sanane, haohao.

Mkiulizwa vipi kuhusu Mvungi na mauwaji ya kibiti mbona hamlalamiki kwauzito huo mnazungusha machotu.

Magu hatachafuka kipumbavu mtapiga makelele mbaka 2025 hakuna atakaesikiliza upuuzi wenu.
 
Amen.
 
Waliwasaidia,hapo umejibu vema hata Biblia inasema nitamfanya msaidizi lakini sisi tumegeuza wasaidizi kuwa watawala matokeo yake watoto wa mitaani wanaongezeka kwa kasi.
Sijui kama wapo.

Ila kuna wanawake wengi waliwasaidia kwa karibu hao viongozi wa kiume kwenye kupigania uhuru.

Tanganyika tuna akina Bi. Titi Mohamed wakati Afrika Kusini kuna akina Bi. Winnie Mandela na Oliva Tambo.
 
Punguza mahaba! Those are not speculations,the scenario is very clear to the effect that even a layman can make a simple analysis and come up with the finding that it was master minded by state similar to a Saud journalist'sdeath in Instambul
Istambul=Istanbul
 
Speculation involves forming a theory or rather asserting whatsoever without providing any firm proof.

If you aren't speculating, can you please present, before us, evidence(s) which show beyond doubt it was state's doing?

What makes Area D similar to a consulate?

NB:
mastar minded
masterminded
 
Aliyofanya marehemu ni makubwa sana.

Hawezi kusahaulika!!
 
Sasa waambie na watetezi wengine wa legacy waje na approach ya namna hii,sababu vitendo vya jiwe vimezalisha wahanga wengi kiasi kwamba wenye maumivu makali yasiyo mithilika. Huwezi kuwaambia chochote kujustify utekaji utesaji na uuwaji.
Wenzako wakina kabwela wanajitoa akili kujaribu kumchafua Magu alafu wanapata rizkimantashala, wewe unaunga telatu kupambana na marehemu.

Unaongelea matesogani yanayo zidi waliyo pata uamsho, unajua nani aliwaweka ndani uamsho.
Wangewekwa ndani kipindi cha magu nadhani mngesha watajahumu mara elf,

Magu hachafuki kipumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…