Mashariki ya kati: IDF ilituma zaidi ya ndege za kivita 100 Tehran kushambulia kambi za kijeshi zaidi ya 20

Hiyo ni report ya upande mmoja!
Lakini kama ndege 100 zimepenya anga ya Iran na kufanya zinavyotaka basi Iran itegemee mashambulizi zaidi ya mara kwa mara!
 
Afu kuna kobaz wanasema hakuna madhara ndege 100 tena za maangamizi ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ nacheka kama mazuri. Hawa watoto wa yakobo hawana show mbovu ndio maana wakijibu jua ni jibu kweli.
 
Jamn leo hii Israel ni ya kukosa picha za mazara kama kawaida yao
Ndege 100 ni nyingi mnoo kama hakuna mazara yaliyotokea ni aibu kubwa xnaa kwa IDF
Kunywa alkasusu madhara yataoneshwa tu na hata yasipo oneshwa muda utaamua
 
Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท inasema mashambulizi ya ndege za IDF yameacha uharibifu.


View: https://x.com/AJEnglish/status/1850086808908071355?t=VdKilvwe4DtjvV9pctSITg&s=19
 
Iran wanazuia ballistic missiles kwa anti aircraft guns. Yani wanawatafuta majambazi wenye silaha za moto kwa mikuki
Hili shambulio la Israel japo halijaleta madhara makubwa ila ni taa nyekundu kwa mamullah wa Iran, ulinzi wao wa anga dhaifu sana.

Au ndio Sababu vinu vya nyuklia vimejengwa chini ya ardhi na chini ya milima ?
 
Without the video of the 100 IDF fighter jets, this post is useless
 
Hili shambulio la Israel japo halijaleta madhara makubwa ila ni taa nyekundu kwa mamullah wa Iran, ulinzi wao wa anga dhaifu sana.

Au ndio Sababu vinu vya nyuklia vimejengwa chini ya ardhi na chini ya milima ?

air defence ya iran imepiga kazi kubwa sana leo. Mazayuni walikuwa wanataka wapate ushindi mkubwa ili iwe somo ila wameishia kutia aibu
 
Kwa msaada wa Marekani na nato kuuwa watoto na wamama ndicho anachoweza, kupambana na wanaume ni kituko ๐Ÿ˜‚
Watoto wa magaidi wanatumia ndokisingizio..
Mitoto Gani unajua kutumia bunduki visu mabomu
Kama nawao niwanaume waache kujificha chini ya aridhi kama panya buku..dadeki wacha watandikwe mpaka Akili itakapo kaa sawa wakisha jua.. Israel ni sawa na mtego wapanya unanasa wadlsio kuwemo na walio...
 
haya mzayuni kautaka sasa ngoja tupanndishe kikoi tumpatie mshedede mtoto mchelemchele wa kiyahudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ