green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Aibu naona mini Israel kachanwa bikra na IranKatumia muda mwingi sana kuchukua uamuzi.
Ila Israel naye alikuwa anamuwinda sana ili aanzishe yeye apate sababu
Tutaumia sisi maana mafuta itakuwa shida yapata
Na hawajui vita ni nini mradi wachangie tuPole Mkuu, hapa wachangiaji ni below 30 so Bado ujana unawasumbua
Haelewi huyu, hajui kuwa kuna mwewe anganiYuko uchi, Us na Israel wako chumbani
Ataelewa wapi wakati wanashindia ubishi?Haelewi huyu, hajui kuwa kuna mwewe angani
Wanaokoteza vijiweniAtaelewa wapi wakati wanashindia ubishi?
Hii ni kujifariji kusema kuwa mashambulizi yalikuwa weak kiuhalisia USA,UK, na France wametoa support kubwa sana na yote sabbabu mashambulizi yametoka mbali imekuwa rahisi kujipanga kuyakabili ila naamini kabisa vita vikianza mashambulizi yataanzia karibu Iraq Syria na LebanonSina pressure mkuu. It was expected na Iran alijua miaka zaidi ya 10 nyuma kwamba hatarajii kutumia GPS kushambulia Israel. Nasubiri majibu ya Israel, haya mashambulizi ya Iran yamekuwa weak sana
Kila nchi ina washiriki wake, wawe wa siri au wa dhahiriSasa hao majirani si ndio wamemzunguka adui sasa hizbullah peke yake angepewa order aichukue Golan anaichukua asubuhi na mapema na wanajiita tu hizbullah lakini ndani yake unawakuta iranian elite force humo humo wanasikilizia tu wanabehave kama jirani ila mtiti ukiwa mtiti wanasehemu ya kuanzia wewe unadhani muarabu wa gaza amewezaje kusimama uwanja wa vita 7 month hadi leo kama sio misaada ya kutosha .
HahahahWaambie wapambane hizo guta angalau zifike hata mbili jamani 🤣🤣 nimebeti kobazi zangu, zisije chukuliwa 🤣
Ndo maana members aina yako hua mnaitwa mashoga jukwaani, sasa hapa misikiti inahusikaje?Cha msingi baadaye hatutaki maandamano ya misikitini ya free Iran.
Hapo kinatafutwa kichwa cha Ayatollah, wamewekewa mtego wamejaa.
Sure wengi hawalioni hili ila hata West wenyewe kuna kitu wameelewa kwa tukio la jana. Iran hatochezewa tena kizembe.Mzee airbase ndio ilikuwa target Ramon na imepigwa na kitendo tu cha kusema lazima nilipize despite mikwara ya usa ,despite mikwara ya uk na all euro country lakini muiran kusema nalipa na despite kuwa na militafy base za usa na mairdefense kila kona na kuilinda israel lakini madude yamefika ndani ya airspace ya israel huo ni ushindi na projection of power kwa muiran yaani amedhihirisha uwezo aliokuwa nao kuwa kwa technologia yake ameweza kumeet his demands sio jambo dogo kwa military strategy now iran anakuwa regional power na message iko clear dont try it again against our interest lazima tutalipiza kutupia madude over 1500km with precision tunaweza na tunachokisema ndio tunachokifanya its loud and clear.
Ndio maana nasemaga hizi serikali zetu za Kiafrika ziwe angalao zinatengeza silaha za kujihami maana tutakuja kuvamiwa na Ayatolah tubaki tunamwangalia.
Unaumizwa Sana na kitengo Cha Iran huko Israel,zile story za Israel Ina jeshi hatari sijui upumbavu gani,zimeishaPicha feki na video za zamani zimetumika sana kipindi hiki.
Unakuta picha ni ya tukio la huko Chile ila mtoa "taarifa" anakuambia; "hapo ni Israel, raia wanakimbia makazi yao".
Mitandaoni, picha za matukio yanayoendana na narrative ya mtoa "taarifa" huwa hazikosekani. Ni mwendo wa kubadili captions tu.
Shida yetu itakuwa kitambo tu kuliko ugaidi, Israel acha amchape huyo Iran.Katumia muda mwingi sana kuchukua uamuzi.
Ila Israel naye alikuwa anamuwinda sana ili aanzishe yeye apate sababu
Tutaumia sisi maana mafuta itakuwa shida yapata
Zingatia context ya hoja yangu.Unaumizwa Sana na kitengo Cha Iran huko Israel,zile story za Israel Ina jeshi hatari sijui upumbavu gani,zimeisha
Hiyo inaweza kuwa Iran ametoa kama warning kwa Mzayuni kwamba anaweza muda wowote kufanya chochote akiendeleza chokochoko zake lakini kusema anapangiwaje silaha za kutumia huo ni uwongo.Unawapangiaje Jeshi la Iran na Serikali yake aina ya Silaha za kurusha.
How ?
😀
Shauri yako,Lia Kama umeumia sana, Iran hahitaji kukuonesha wewe video ya shughuli zakeZingatia context ya hoja yangu.
Ukishambulia mahali kijeshi ukafanikiwa, na unataka watu waamini kuwa umefanikiwa, basi leta ushahidi wa eneo halisi la tukio wenye kuthibitisha madai yako, na sio kutumia picha na video za matukio ya zamani ambayo hayahusiani na kile ambacho unataka kuaminisha kadamnasi.