Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hahaha hatuna ubavu huoHivi Tz tuna uwezo wa kuzuia mashambulizi kama hayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hatuna ubavu huoHivi Tz tuna uwezo wa kuzuia mashambulizi kama hayo?
Vina kelele balaaa😂😂😂😂Uko twitter naona vi drone kama nzi vina pita
Zinatumia dedicated satellites kwa ajili yake tu. Pia hii GPS tunatumia uraiani ni 144p ya GPS inayotumiwa jeshini.Ndege za kijeshi zenyewe swala la GPS sio issue sana?
Ngoja tuone.... Kesho sio mbaliKwani Israel huchagua silaha? Alishaapa kuizuia Iran kumiliki Nukes, naona kaitafuta sababu hadi kaipata
Tukiweka tozo, yes, hata makombora hayapendi tozo so yatapita kama hayakutumwa kwetu vile.Hivi Tz tuna uwezo wa kuzuia mashambulizi kama hayo?
hapo inamaanisha nini ndugu yangu
Drones gani hizo zina speed ya Sai baba? 🤣🤣🤣Hakuna vita hapo.
Sasa drones zipo angani masaa 8, muda wote huo Israel na US watakua wanazitrack... Zitatunguliwa kabla hazijagusa airspace ya Israel.
Baadhi ya mataifa ya Middle East wamefunga anga zaoha
hapo inamaanisha nini ndugu yangu
Na hii ndio mara ya kwanza katika historia Iran kuishambulia Israel kutokea ndani ya mipaka ya nchi yaokwenye page yao wanasema kuwa drone swarms zimerushwa kutokea ndani ya Iran kuelekea kwao
Bro acha GPS za kimagharibiMtu mpk ana jam GPS mashariki ya kati yote imepotea huyo si wa mchezo mchezo
Iran anatushia tu hawezi jaribu
Ili hii vita iwe tamu mataifa mengine yasiingilie kati hasa nchi washirika wa karibuHuu mtanange nimeusubiria kwa muda mrefu sana maana ndo vita ya mbali achana na ile ya Iraq na Marekani
Vipi tayari wame sha shinda zidi ya hamas na hezibolla tayariiYaani na akili zako unaamini Iran atashinda all out na USA na Israel