Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Mtu mpk ana jam GPS mashariki ya kati yote imepotea huyo si wa mchezo mchezo

Iran anatushia tu hawezi jaribu
Hizo ni GPS za kiraia tu. GPS ya kijeshi ya Marekani haiwezi kuwa jammed; iko katika level tofauti sana na zile za kiraia.

Ningependa Netanyahu afundishwe adabu kidogo kabla hajapewa lifeline yoyote. Netanyahu ndiye aliyechangia sana kuharibu image ya Israel duniani. Ninapenda Netanyahu abanwe makende sana kabla suluhu haijafikiwa. Marekani ikiingilia kati mapema, Netanyahu atapata lifeline ya haraka na atajisahau tena
 
Rais wa Marekani, Biden akatiza likizo yake huko Delaware na kurudi Ikulu kujadili kinachoendelea mashariki ya kati, inaaminika usiku wa leo Iran atalipiza kisasi na tayari kaweka sawa makombora zaidi ya 100 na ndege nyuki zisizo na idadi
Vitisho tu vya Irani. Haiwezi
 
Back
Top Bottom