Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Jamani acheni kudanganyana Iran utapoteza kila kitu, hakuna tofauti na enzi za Sadamu na mabomuyake ya scud baada ya Israel kushambulia nuclear plant on Iraq.
Ushajiuliza kwanin wayahudi feki wa kizungu waliogopa kukishambulia kinu cha nyuklia Iran cha natanz, nakuishia kufanya assassination za kiuoga kwa wanasayansi wa nyuklia wa Iran, ngoja unachopaswa kujua nikwamba Iran hatakuja kuvamiwa hata cku moja pia usilinganishe Iran na Iraq ya Saddam Hussein ambayo ilikua ikinunua siraha nyingi za kivita kutoka nchi za magharibu wakiongozwa na marekani.
 
Utalipua vipi wakati huna uwezo wa kufika eneo husika.
Ili kilipuliwe inahitajika ndege vita kusogea ndani ya Iran, je kuna nchi imewahi peleka ndege vita karibu hivyo?
 
Utalipua vipi wakati huna uwezo wa kufika eneo husika.
Ili kilipuliwe inahitajika ndege vita kusogea ndani ya Iran, je kuna nchi imewahi peleka ndege vita karibu hivyo?
Tatizo sio umbali Bali majibu ya Irani, hiki ndio Israeli waliogopa sana hili lishatamkwa na ehud Barack na meir Dagan,hivyo wengi wanaongozwa na mahaba na kuchukulia Irani ni taifa Lele mama Kama Iraq ya Saddam Hussein.
 
Marekani anajitahid sana kuzuia hii vita isitokee lakini sidhani km atafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…