Masheikh wakiamua kuingiza siasa kila kipindi cha swala itakuwaje

Ushawahi sikia padre gaidi?Padre utasikia Jasusi,Komandoo.upende mwingine sasa
 

Mkuu, hujui chechote kuhusu katoliki, acha kuingiza Mada ambazo hazihusiani, kwasababu sisi wakatoliki tunaelewa tunachokifanya, hata ukisema hivyo leo hauna cha kunibadilisha na kesho utaniona tena kanisani kwasababu nakifahamu nachokifanya
 
Tatizo mtoa bandiko ujanawa uso........sasa sijui unaalakia nini ...........hivi unajua kwanza umeandika nini?........maana sijaelewa kabisa umesema walaka then vita vya Ukraine..........wewe ni wale wale ........badala ya kwenda pre chekechea wewe ulianzia madrasa............Huna ulicho pata...............wale maaskofu wamewatetea wote kama wewe sifuri na mimi kumi maana nilienda shule ya wazungu mapema kujifunza..........wale maaskofu wanaipenda tanzania yote bila kutaja dini wala kabila la mtu .........wameangalia kesho kutwa ya watoto wote wa tanganyika............
 
Kuna aliyewakataza?
 
Wangekuwa wanausimamia Uislam vizuri... wasungebariki kuongozwa na MWANAMKE.
 
Masheikh tatizo ni shule hamna anaeweza kuchambua huo mkataba trust me
 
Toa ujinga aisee. Msijione waislam peke yenu.

Wakati misikitini zinapigwa kampeni za apewe Lipumba ama apewe Kikwete ulikuwa umezaliwa??.

Toa ujinga aisee, nani kakwambia ishu ya Bandari ni siasa????

Kuna siasa hapo .

Toeni huu upuuzi wa kufanya check and balance.

Mkataba ni wa hovyo,

Period
 
Huwa wanato waraka zao sema vyombo vya habari havichukulli serious mana wanaona hawanaga kitu kichwani..ni pumba tu💨😂
Hata vyombo vya habari havijaripoti waraka huu wa TEC

Waislamu hawana umoja katika masuala yasiyohusu dini yao directly. Wao wana umoja kwenye ishu zinazogusa imani yao.

Ila nao pia wana network yao wakiamua kila swala ya Ijumaa au kila swala fulani kila siku hotuba ihusu mambo ya nchi nao ni Force kubwa tu.
 
TAPIKA TENDE NA HALUA ZA WAARABU

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika TAKATAKA mkuu,
 
Ila kuabudu jiwe ruksa?
 

Attachments

  • FB_IMG_1692087231147.jpg
    29.4 KB · Views: 1
Kiazi kweli, bila shaka na wewe ni mbuzi usiyeweza kuelewa mambo
 
Magaidi hawana uwezo wa kuandika waraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…