Masheikh wenye vyeo Serikalini msimamo wenu ni upi kuhusu Uislam?

Serikali haina Dini Basi...., katambuaneni mahekaluni na misikitini....,
 
Jibuni swali kwanini hawakimbilii MECCA , au oman na nchi nyingine ambazo uislamu ndio dini ya nchi
 
Jibuni swali kwanini hawakimbilii MECCA , au oman na nchi nyingine ambazo uislamu ndio dini ya nchi
Mwarabu hajawahi kumpenda mwafrika..ila waafrika kila siku kujipendekeza na kujifanya miarabu miyeusi hata huku tu huwezi ona mwarabu aozeshe mtoto wake kwa blak hata kama ashike vipi dini.

Umesahai hao ndio walikua wana wahasi watumwa ili wasizae na mabinti zao wa kiarabu..ndio mana uarabuni ni pure waarabu hakuna weusi huko.

Waafrika ujinga mwingi sana asee.

Halafu kutwa kukicha inaumizana kisa dini.


#MaendeleoHayanaChama
 
[emoji851][emoji851]
 
Umejuaje kuwa hao viongozi unaowataja wanaamini unachokiamini?
Au kwa sababu wanavaa na kujinasibisha kama wewe.

Sio waislamu wote wanaamini kuwa ni vibaya kusalimu kwa kutumia maneno ya dini nyingine.

Ishi maisha yako itakusaidia sana kuachana na hizi stress.
 
Alikuja mtu mweupe kutoka Kaskazini na Mweupe kutoka Magharibi, wakawakuta ndugu wanaopendana, kila mmoja akawafundisha mafundisho yake walipoondoka ndugu wakawa maadui.
 
Kuna nyuzi ukifungua ni lazima ujilaumu
 
[emoji2][emoji2] Hao hao viongozi unaowasema mleta mada bado wana watoto wao wanasoma Saint Francis !!
 
Wanaenda huko kwa ajiri ya maisha sio kidini ila kuhiji huwa wanaenda Saudia Arabia sio Ulaya au kwengineko.
Na ulaya hawawataki waislam sasa wanang'ang'ania nini??!!!waende uarabuni kwani huko hakuna maisha🤣🤣🤣🤣
 
Unajipa moyo sana kwa habari za kusadikika🤣🤣🤣 tembea uone wanavyotimuliwa hao waislam wenzako ulaya huko, hizi habari za kutengeneza usishadadie ni fake nyingi tu
 
Huoni mpaka shekh mkuu wa jiji la maraha shehena Alhadi mussa Salum nae kapewa udokita wa heshima😂😂
Tena kapewa na hao wanaoita makafiri🤣🤣🤣😁 ila waislam hovyo kichizi utakuta anaita watu makafiri huku kavaa suti na simu za makafiri mkononi😂😂😂😁😁 chenga sana hawajielewi kabisaa ndio maana wanadharaulika sana
 
Wanaenda huko kwa ajiri ya maisha sio kidini ila kuhiji huwa wanaenda Saudia Arabia sio Ulaya au kwengineko.
Kama mungu wao wa kweli kwa nini asiwape maisha huko huko kwao,
 
[emoji2][emoji2] Hao hao viongozi unaowasema mleta mada bado wana watoto wao wanasoma Saint Francis !!
Hawa waislamu wa mkuranga tabu kweli. Kuna jamaa tulikuwa nae Pugu miaka hiyo shule anasema hata kuimba wimbo wa taifa ni Ukafiri. Kuna siku timu ya taifa ya Saudi Arabia ilicheza wakaimba wimbo wao was taifa.

Nikamwambia shekhe unawaona watoto wa mtume?
 
Huwa najiuliza ni kitu gani kinawafanya waislam waamini kuwa dini yao ni ya kweli na dini nyingine sio za kweli.

Ukijaribu kuisoma vizuri imani hii ya kiislam ukiwa na open mind utagundua ina mapungufu makubwa sana kuifanya kuwa dini ya kweli ukilinganisha na dini nyingine kama wafuasi wake wanavyoinasibisha.

Hebu ngoja niishie tu hapa nikajenge taifa langu kwanza, lakini naomba tusibaguane ndugu zangu.
 
Kama mungu wao wa kweli kwa nini asiwape maisha huko huko kwao,
Wanaamini Mungu wao aliumba dunia nzima na si nchi yao tu na ni Mungu wa dunia nzima hivyo popote wanaweza kwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…