Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inasikitisha moderators wameaucha uzi wenye uchochezi na udhalilishaji mkubwa kwa dini ya kiislamu umeendelea kuwepo kama wangedhalilishwa maaskofu na wachungaji hakika uzi usingekuwepo wacheni udini moderators!
Udini uko wapi hapo wakati kilichowekwa hapo ni maneno kutoka kwa viongozi rasmi wa dini ya kiislam kuhusiana na uchaguzi?

Kwa nini hampendi ukweli? Umewekewa mpaka video clip za hao viongozi wa dini ya kiislam, halafu unasema eti ni uchochezi dhidi ya dini!! Sasa mchochezi ni nani? Ni hao viongozi wa dini au sisi tuliosikia kauli zao?

JF siyo gazeti la uhuru ambalo habari ambayo chama haiitaki inatakiwa kufutwa au kuhaririwa. Hapa JF, kama hukubaliani na kilicholetwa, kikatae, kikosoe au kirekebishe kwa hoja. Kama habari iliyoletwa ni ya uwongo, mods wana haki ya kufuta, lakini kwa habari hii umewekewa mpaka ushahidi wa video, na video hizi zinazunguka kwenye magroup mengi ya whatsapp.
 
Inasikitisha moderators wameaucha uzi wenye uchochezi na udhalilishaji mkubwa kwa dini ya kiislamu umeendelea kuwepo kama wangedhalilishwa maaskofu na wachungaji hakika uzi usingekuwepo wacheni udini moderators!
Haijadhalilishwa dini ya kiislaam hapa...WAMEJIDHALILISHA WENYEWE HAYA MAZEE YASO NA HAAYA...DINI YETU IKO SAFI NA SALAMA...

UISLAAM UNATUAMRISHA KUMTII KIONGOZI WETU NA TUMKUBALI RAIS KATIKA HALI YOYOTE ILE...ILA SIO HIVI WANAVYOFANYA HAYA MAZEE YASIO NA HAAYA...DINI WAMEITUPA MBALI, WAO WAMEIOKOTA DUNIA.
 
Kwa wale tu wenye Akili za kuona mbali
Je mumeshagundua nini kuhusu Uzi huu ???!
Uchaguzi umekaribia kwahiyo sisi wenye uwezo wa kudadavua mambo tunaanza kupata mashaka kwamba ukiona nyuzi zinapandishwa humu zenye muelekeo wa Udini na kisha kukaanza malumbano ya kidini nia ya waleta nyuzi siku zote inakuwa ni moja tu !
Ni ile ile principal ya tangu Enzi na Enzi
“DIVIDE THEM AND RULE “
Waleta nyuzi za namna hii huwa wana ajenda zao za Siri !

Waliosomea Cuba 🇨🇺 wanaweza wakaelewa hii maneno imekaaje !
Hiyo yaweza kua ni starting point ya kuupima upepo ili tanga likae sawa kwa ajili ya kuanza safari 😳🙄!

Muwe mukitumia common sense sometimes !

Au nasema uongo ndugu zanguni !!! 🤣🙏 🙄 !?
 
Ingawa hilo haliwezekani, kama uchangiaji moja alivyosema wamemtapeli, lakini suala hili Kwa sababu limesemwa na Kiongozi wa miongoni mwao na kuwataka wengine wafanye hivyo, basi inakuwa ni kwamba watu hao , wanatakiwa kuchagua huyo ambaye Kiongozi wao kasema achaguliwe
 
Watawanye Uwatawale 😳🙄 !
 
Who is Allah!?
 
Malaria Sugu kabla huja ritadi wakati kama huu ungeshatoa mwongozo kwa kutumia rejea toka Koran tukufu lakini sasa umejikita kupambana na Lissu tu na kumpamba Mbowe. Kweli rushwa hupofusha.
Nimeumia sana mbinu alizotumia Lissu dhidi ya mbowe. Japo 2 ni makafiri lkn haikupendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…