Mashekhe wote kwa umoja wenu: Ijumaa ijayo khutba iwe ni October TUNATIKI ✅

Watu kuuawa, watu kutekwa na wengine kubakwa na kuingiliwa kinyume na maumbile (according to yule Mkenya na yule Mganda) afande Kibao, sheikh wa Zanzibar ni Waislamu wale....., now kama ma sheikh wakitetea haya mambo kwa bendera ya kidini, tafsiri yake sisi tusio Waislamu tuamini kwamba Uislam unaruhusu hayo mambo. Haya si mambo ya Ukristo against Islamic, it is the war against evil actions.
 
Na hapa yanakuja, yaani sio kwa mwamko wa makanisa yanavyomtukana mama kwa kuwa tu ni muislam

Kisasi kitaendelea hata wakati wa mkiristo kutawala hapa
Hebu nisaidieni nielewe na mimi; wapi Wakristo wamemtumu rais kwasababu ya dini yake? Hivi kuzungumzia mauaji, utekaji ni kuusema vibaya uislamu? Guys, uislamu unaruhusu haya mambo kweli? Usikute hata uislamu wenyewe hamuuelewi, mnajisemea tu
 
PUMBAVU
 
Campaign Isiyoungwa Mkono Na Yoyote Yule
Ile Janja Yenu Ya Hadaa Eti Kikitawala Chama Kingine Kutatokea Vita
Generation Z Ya Tanzania Ina Uelewa Mno
 
Kama chadema mmeshindwa na hiyo no reforms no election, tulieni. Msitake kuingiza wasiohusika kwenye matatizo yenu.
 
#No reforms -No election#
#Free Tundu Lissu #
 
Ni amri umetoa au ushauri?
 
Vita mnayo itafuta hamuiwezi wajemeni kuna mmoja atatema ndoano sio muda
 
Wapuuzi wanataka kuifanya issue ya uchaguzi, utekaji na mauaji ni ya dini, pumbaf sana
 
Waende tu wakatiki, lakini mioyoni mwao watakuwa wanajua fika kuwa wanachokifanya ni ubatili.

Ukweli uko wazi, mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya hivyo, labda awe ameshinikizwa.
 
No reforms no election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…