residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Wanatiki matak0Tatizo ndio hilo bwashee, nani kamteka? Kwanini isiwe ni chadema yenye vita na ccm?
Ushahidi hamna na mnatuhumu
Masheikh walikuwa busy kula nyama za misaada toka turkey, saudia, oman, uae, hivyo waache kwanza, angalau kwa wiki kama tatu hivi maana wamevimbiwa mpaka wamevimbiwa tena.Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
No reform no electionWenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Bora ungekaa kimya kuficha upumbavu wako!Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Ushauri mzuri, masheh wengi ni brain 0Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Yame anza kuwashinda sasa naona mme amua kuingia misikitini.Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Watekaji ni nyapara kutoka Kizimkazi na vikaragosi wake, since day one chain ya utekaji iko katika mfumo huo huoUshahidi wa mazingira unaonyesha ni chadema,
Kila likitokea wa kwanza kujua ni chadema
Wajanja sana wanajua kujihami, ngoja uvhunguzi ufanyike ndio hatua zichukuliwe
Anawashiwa moto kwa sababu ya kikosi chake cha utekaji, ulawiti, utesaji na uuaji. Mbona wizi wake na uhamishiaji mali za Tanganyika kwenda nchi ya jirani ya Zanzibar hashambuliwi kwa hilo anavyokula kwa urefu wa kamba yake.Chadema ni ukristo hilo halina shaka,
Tunaona makanisa na wasimamizi wa makanisa mpaka inje ya inchi wanavyomshukia na kumtusi mama Samia kisa tu ni muislam
B
Ushaurii bora ni wao pia wattoke kukemea hv vitendo vya utakaje huo ndio uislam wa kweli tusichague kuwa wanafiki kwa mgongo wa dini uislam ni inayoubiri haki ktk mafundisho yake
Lakni bado hamjakanusha maneno ya kada wenu kipenzi Padri Slaa kuwa CHADEMA ina kikosi cha kuteka na kuua. Yawezekana kabisa huyo shekh aliuawa na kikosi cha utekaji cha CHADEMAKuna Sheikh katekwa kauwawa Singida huko alafu unaleta uzezeta wako hapa.
Hakunaga undugu na Shetani. CCM ni mashetani.
Hapana, huyo kauawa na CHADEMA. Na ushahidi ni Padri Slaa alishatuambia ndani ya CDM kuna kikosi cha utekaji. Hajakanusha hilo na ndo mana mmemkaribisha tena Padri SlaaLinajipikisha kelele humu kuendekeza uchawa wakati kuna Sheikh wao katekwa Singida hapo na mi CCM itakuwq imeenda kumuua.
Wanadhani CCM ni Binadamu wa kawaida wanajipendekeza kwao tu, kumbe Wanachofanya ni kama mbwa anavyojipeleka kwa chatu
NO REFORMS, NO ELECTIONWenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Mbona hamjawakamata Chadema na kuwapeleka Mahakamani?Hapana, huyo kauawa na CHADEMA. Na ushahidi ni Padri Slaa alishatuambia ndani ya CDM kuna kikosi cha utekaji. Hajakanusha hilo na ndo mana mmemkaribisha tena Padri Slaa
Tuna viongozi wa dini ambao wamechagua kuwa machawa wa wanasiasa wanaijua haki ba batwil ndani ya nafsi zao lkn kutokana na tamaa ya maisha ya dunia wamechagua kuwa machawa hakuna anayenyanyua mdomo kukemea maovu hakuna muislam hata mmoja anayefurahishwa na hali ya utekqji na watu kupotea labda hao viongozi kwa maslai yao ya kiduniaUshaurii bora ni wao pia wattoke kukemea hv vitendo vya utakaje huo ndio uislam wa kweli tusichague kuwa wanafiki kwa mgongo wa dini uislam ni inayoubiri haki ktk mafundisho yake
Hapana. We unataka kupingana na kada mtiifu wa CDM aliyesema ndani ya CHADEMA kuna kikosi cha utekaji na MauajiWatekaji ni nyapara kutoka Kizimkazi na vikaragosi wake, since day one chain ya utekaji iko katika mfumo huo huo
Rasmi umeamua kujieleza.Wenzenu wa upande wa pili kila siku wanaleta mmoja serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
We hujui, kikosi cha utekaji kiko CDM. Kamuulize Padri Slaa akuelekezeAnawashiwa moto kwa sababu ya kikosi chake cha utekaji, ulawiti, utesaji na uuaji. Mbona wizi wake na uhamishiaji mali za Tanganyika kwenda nchi ya jirani ya Zanzibar hashambuliwi kwa hilo anavyokula kwa urefu wa kamba yake.
Ameachiwa aendelee kuiba lakini haikubaliki akiwa na udikteta uliopitiliza.