any way ngoja nirudi jukwaani niendelee kunadi kampeni, ila baada ya shindano nitalianzisha timbwiliusianze kuchochea baba anichape leo , huwaga tuna matani baba yetu hivyo usijiingize usijedhalilishwa na kukanwa peupee mchana huu
hahahaaa wewe na uzee wako si umerudi utoto? yaani kila kitu mpaka utengenezewe, hata muhindi lazima utengenezewe njiamkuu hivyo vitu ni adimu sana siku hizi,
bwashee mbona sijaona kura yako aisee??Una akili sana wewe! Hakika umechagua kilicho chema.
any way ngoja nirudi jukwaani niendelee kunadi kampeni, ila baada ya shindano nitalianzisha timbwili
he !! au nimefutwa? ngoja niite mwandaaji ladyfurahia ni kweli jina langu halipo?.
pamoja sana mkuu, hiyo imehesabika, :A S 41::A S 41:Kura yangu na iende kwako, pamoja na kutoona jinalo
mshindi wa kwnza atapewa nini? najua kwenye top 3 sikosi, nataka nijue zawadi gani itatolewa, kama ntapewa kabinti bikra ntafurahi sana.
nahisi dalili za uchakachuajimbona unawaza sana zawadi wakati robo kura hujapata wangesema .................. waliokuwa na kura nyingi (siwataji)
WALIOINGIA 10TOP BORA ni
Bujibuji, Slave, @noob, Bishanga, Mwita Maranya, kabanga, Mr Rocky, zumbemkuu, king kong111 na TIQO
Hivyo watazamaji wetu endeleeni kuwapigia watu hawa kwani ndo waliobaki kambini karibuni
cc😡Heaven on Earth, Lady doctor, Mamndenyi, Paloma, sosoliso, Erickb52, Arushaone, Filipo, Ruttashobolwa, stevoh, Younger Master na wengineo kujeni tumalize shindano hapa
mie sura mbaya bana,nimekidhi viwango that why nipo shindanonindio...au uongo?
bora wakutoe kwakuwa wewe huna mvuto wa sura mbayakumbe na mimi nimeingia....
WALIOINGIA 10TOP BORA ni
Bujibuji, Slave, @noob, Bishanga, Mwita Maranya, kabanga, Mr Rocky, zumbemkuu, king kong111 na TIQO
Hivyo watazamaji wetu endeleeni kuwapigia watu hawa kwani ndo waliobaki kambini karibuni
cc😡Heaven on Earth, Lady doctor, Mamndenyi, Paloma, sosoliso, Erickb52, Arushaone, Filipo, Ruttashobolwa, stevoh, Younger Master na wengineo kujeni tumalize shindano hapa
bwashee mbona sijaona kura yako aisee??
mbona unawaza sana zawadi wakati robo kura hujapata wangesema .................. waliokuwa na kura nyingi (siwataji)
Hivi zinapigwaje na wapi bwashee?