Mashine hii hapa, Iran nehi nehi, Marekani ina silaha za hatari sana ambazo dunia haijui

Mashine hii hapa, Iran nehi nehi, Marekani ina silaha za hatari sana ambazo dunia haijui

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi.

Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.


956A52FB-387E-4801-A63A-30DA45F72998.jpeg


 
Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi.

Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.


View attachment 3378693

View attachment 3378694
Ila, ikumbukwe wachumba wengine wana kila sifa za Cleopatra.Wanaweza kubadili misimamo ya mfalme muda wowote.
 
Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi.

Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.


View attachment 3378693

View attachment 3378694
Hao Marekani mashoga wasioijua njia ya hakhi hawana lolote. Iran Mnyaazi Mungu atawalipia kisasi. Death to America, death to Israel.
 
Inshaallah.Tushike simu zetu vizuri,tufumbe macho na kuombea ndugu zetu dua njema.
Ndugu zenu Iran?
Kwamba waajemi ni ndugu zao na waafrika au sijaelewa? Hawana hata undugu na waarabu achilia mbali wabantu. Au tuseme ndugu katika imani?
Sisi wengine sio wa imani hiyo ila hatufurahii anachofanya mmarekani na muisraeli kwa taifa la waajemi.
 
Ndugu zenu Iran?
Kwamba waajemi ni bdugu zao na waafrika au sijaelewa? Hawana hata undugu na waarabu achilia mbali wabantu. Au tuseme ndugu katika imani?
Sisi wengine sio wa imani hiyo ila hatufurahii anachofanya mmarekani na muisrarli kwa taifa la waajemi.
Ni ndugu katika imaani.
NB; Ngoja walambishwe dawa ya kiseyeye kidogo.
 
Back
Top Bottom