Mashine hii hapa, Iran nehi nehi, Marekani ina silaha za hatari sana ambazo dunia haijui

Mashine hii hapa, Iran nehi nehi, Marekani ina silaha za hatari sana ambazo dunia haijui

Kuna muda embu tuweni serious basi. Iran intelijensi iko hovyo, viongozi wakuu wote wanauliwa. Sasa unategemea mtu huyu ashikilie pumbu mbele ya US au twaiona US ni kama TPDF?
Katika vita kamili (full scale war) kati ya Iran na Israel, bila msaada wa moja kwa moja wa washirika wa kimataifa, Israel ina uwezekano mkubwa wa kushinda, kwa sababu zifuatazo:

---

1. Ubora wa Teknolojia ya Kijeshi
- Israel ina teknolojia ya kisasa zaidi:
- Iron Dome, David’s Sling, Arrow 3 – mifumo ya ulinzi dhidi ya makombora.
- F-35 stealth fighters – ndege za kisasa ambazo Iran haina.
- Ujasusi (Mossad & Unit 8200) – uwezo mkubwa wa kijasusi na cyber warfare.
- Iran ina silaha nyingi lakini nyingi si za kisasa. Ina makombora ya masafa marefu na drones, lakini si stealth, na nyingi ni rahisi kushambuliwa kabla ya kufika.

---

2. Ufanisi wa Jeshi
  • Israel Defense Forces (IDF) ni jeshi lenye mafunzo ya hali ya juu, zana za kisasa, na uzoefu mkubwa wa vita za kisasa.
  • Iran ina jeshi kubwa idadi, hasa kwa Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC), lakini lina changamoto za vifaa na teknolojia.

---

3. Uwezo wa Anga na Cyber
  • Israel ina uwezo wa kuteka au kuvuruga mfumo wa ulinzi wa Iran kupitia ujasusi na mashambulizi ya mtandaoni.
  • Iran imeshaonyeshwa kupenya baadhi ya mifumo, lakini si kwa kiwango cha Israel.

---

4. Washirika wa Kimataifa
- Israel ina msaada mkubwa wa Marekani na NATO kisiasa, kiintelijensia na kijeshi.


Hii ni stori nilipiga na mshikaji wetu
 
Ndugu zenu Iran?
Kwamba waajemi ni bdugu zao na waafrika au sijaelewa? Hawana hata undugu na waarabu achilia mbali wabantu. Au tuseme ndugu katika imani?
Sisi wengine sio wa imani hiyo ila hatufurahii anachofanya mmarekani na muisrarli kwa taifa la waajemi.
Muislamu mwafrika anamthamini zaidi mwarabu kuliko hata mwafrika mwenzie mwenye Imani tofauti na yake.
 
Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi.

Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.


View attachment 3378693

View attachment 3378694
1000038974.jpg
 
Kwa nini wasizipe hizo silaha Ukraine dhidi ya Urusi? Au wakapige vinu vya North Korea
Watu wanaangalia mbali , irani kwao ni hatari kuliko huko unakosema. Ingawa Russia nayo ni hatari ,all in all us hataki nchi inayoinuka (kuwa juu yao)
 
Back
Top Bottom