Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
😀 kobazi toka lini wakawa na akili mkuu?Kuna muda embu tuweni serious basi. Iran intelijensi iko hovyo, viongozi wakuu wote wanauliwa. Sasa unategemea mtu huyu ashikilie pumbu mbele ya US au twaiona US ni kama TPDF?
Ila, ikumbukwe wachumba wengine wana kila sifa za Cleopatra.Wanaweza kubadili misimamo ya mfalme muda wowote.Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi.
Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.
View attachment 3378693
View attachment 3378694
Hao Marekani mashoga wasioijua njia ya hakhi hawana lolote. Iran Mnyaazi Mungu atawalipia kisasi. Death to America, death to Israel.Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi.
Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.
View attachment 3378693
View attachment 3378694
Inshaallah.Tushike simu zetu vizuri,tufumbe macho na kuombea ndugu zetu dua njema.Hao Marekani mashoga wasioijua njia ya hakhi hawana lolote. Iran Mnyaazi Mungu atawalipia kisasi. Death to America, death to Israel.
Naam huo ni mtihani tu; wataushinda Inshaallah. Ila wapunguze midomo.Inshaallah.Tushike simu zetu vizuri,tufumbe macho na kuombea ndugu zetu dua njema.
Dah! Kwamba hilo dege and similar ones hazilali nje ya Marekani. Ni kuchapa na kurudi kupumzika hizo ni vidume hasa. Mwanaume shupavu kulala nje ya nyumbani kwake mwiko.Marekani ina midege hatari inatoka kwao na kwenda kupiga mbali kisha inarudi bila kutunguliwa. Ogopa sana marekani
Ndugu zenu Iran?Inshaallah.Tushike simu zetu vizuri,tufumbe macho na kuombea ndugu zetu dua njema.
Akikujibu nitagKwa nini wasizipe hizo silaha Ukraine dhidi ya Urusi? Au wakapige vinu vya North Korea
Ni ndugu katika imaani.Ndugu zenu Iran?
Kwamba waajemi ni bdugu zao na waafrika au sijaelewa? Hawana hata undugu na waarabu achilia mbali wabantu. Au tuseme ndugu katika imani?
Sisi wengine sio wa imani hiyo ila hatufurahii anachofanya mmarekani na muisrarli kwa taifa la waajemi.
The kifusi u know
ukobazi wenu huu wa kupayuka death to US, death to israel mtasagwa sana kobaziHao Marekani mashoga wasioijua njia ya hakhi hawana lolote. Iran Mnyaazi Mungu atawalipia kisasi. Death to America, death to Israel.