Hii mingese humu imejaa kinomaHuyu nae ni mzazi ?
hayo ni miongoni mwa mashirika ya unafiki duniani 🐒DW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida.
DW na BBC hawakutaka kuhoji hata mtu mmoja aliyekatwa kidole, kupoteza mali zake kwenye zoezi lile la mapinduzi au hata kuihoji serikali inafanya nini kurudisha huduma zilizovurugwa na zoezi lile la kuipindua serikali lililoshindwa.
BBC na DW watuambie kama ulaya kuna kikundi kilichowahi kuzuia uchaguzi wa nchi husika na nini kilitokea.
Nawaomba DW na BBC wawe wanatuletea kila mwaka kumbukumbu ya tukio la Hitler kuwaua wayahudi kwenye makambi ya mateso huko Ujerumani ili vizazi ambavyo havikuwepo vijue. Pia watuletee kumbukumbu za mauaji ya Nagasaki na Hiroshima kila mwaka kwasababu hizohizo za kuwajulisha watu siku hiyo.
Ni vyombo vya kichochezi ambavyo vina sifa ya kupigwa marufuku kupeperusha matangazo yake nchini.
DW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida.

anzisha TV yako ushinde unawatangazia watazamaji wako mauaji ya HITLERDW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida.
DW na BBC hawakutaka kuhoji hata mtu mmoja aliyekatwa kidole, kupoteza mali zake kwenye zoezi lile la mapinduzi au hata kuihoji serikali inafanya nini kurudisha huduma zilizovurugwa na zoezi lile la kuipindua serikali lililoshindwa.
BBC na DW watuambie kama ulaya kuna kikundi kilichowahi kuzuia uchaguzi wa nchi husika na nini kilitokea.
Nawaomba DW na BBC wawe wanatuletea kila mwaka kumbukumbu ya tukio la Hitler kuwaua wayahudi kwenye makambi ya mateso huko Ujerumani ili vizazi ambavyo havikuwepo vijue. Pia watuletee kumbukumbu za mauaji ya Nagasaki na Hiroshima kila mwaka kwasababu hizohizo za kuwajulisha watu siku hiyo.
Ni vyombo vya kichochezi ambavyo vina sifa ya kupigwa marufuku kupeperusha matangazo yake nchini.
Sio mingese sema misenge unapindisha nnHii mingese humu imejaa kinoma
Kabisa, nahisi mtoa mada si mfatiliaji.Hayo mauaji uliyoyataja yametengenezewa mamia ya muvi! Yamefanyiwa vipindi na makala za kutosha tu. Hivyo hakuna jipya.
Lipì gharama tuzame maktaba kesho tu asubuhi tutakuletea tuvituvitu hapà!DW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida.
DW na BBC hawakutaka kuhoji hata mtu mmoja aliyekatwa kidole, kupoteza mali zake kwenye zoezi lile la mapinduzi au hata kuihoji serikali inafanya nini kurudisha huduma zilizovurugwa na zoezi lile la kuipindua serikali lililoshindwa.
BBC na DW watuambie kama ulaya kuna kikundi kilichowahi kuzuia uchaguzi wa nchi husika na nini kilitokea.
Nawaomba DW na BBC wawe wanatuletea kila mwaka kumbukumbu ya tukio la Hitler kuwaua wayahudi kwenye makambi ya mateso huko Ujerumani ili vizazi ambavyo havikuwepo vijue. Pia watuletee kumbukumbu za mauaji ya Nagasaki na Hiroshima kila mwaka kwasababu hizohizo za kuwajulisha watu siku hiyo.
Ni vyombo vya kichochezi ambavyo vina sifa ya kupigwa marufuku kupeperusha matangazo yake nchini.
Umemtandika kwenye mshono nazani anatamani kuufuta huu upuuzi wake
Tarehe 27 January
Naona mama anazidi kupanda chati, sasa anafananishwa na Hitler.DW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida.
DW na BBC hawakutaka kuhoji hata mtu mmoja aliyekatwa kidole, kupoteza mali zake kwenye zoezi lile la mapinduzi au hata kuihoji serikali inafanya nini kurudisha huduma zilizovurugwa na zoezi lile la kuipindua serikali lililoshindwa.
BBC na DW watuambie kama ulaya kuna kikundi kilichowahi kuzuia uchaguzi wa nchi husika na nini kilitokea.
Nawaomba DW na BBC wawe wanatuletea kila mwaka kumbukumbu ya tukio la Hitler kuwaua wayahudi kwenye makambi ya mateso huko Ujerumani ili vizazi ambavyo havikuwepo vijue. Pia watuletee kumbukumbu za mauaji ya Nagasaki na Hiroshima kila mwaka kwasababu hizohizo za kuwajulisha watu siku hiyo.
Ni vyombo vya kichochezi ambavyo vina sifa ya kupigwa marufuku kupeperusha matangazo yake nchini.
Unatakiwa utupwe shimo ya mavi weweDW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida.
DW na BBC hawakutaka kuhoji hata mtu mmoja aliyekatwa kidole, kupoteza mali zake kwenye zoezi lile la mapinduzi au hata kuihoji serikali inafanya nini kurudisha huduma zilizovurugwa na zoezi lile la kuipindua serikali lililoshindwa.
BBC na DW watuambie kama ulaya kuna kikundi kilichowahi kuzuia uchaguzi wa nchi husika na nini kilitokea.
Nawaomba DW na BBC wawe wanatuletea kila mwaka kumbukumbu ya tukio la Hitler kuwaua wayahudi kwenye makambi ya mateso huko Ujerumani ili vizazi ambavyo havikuwepo vijue. Pia watuletee kumbukumbu za mauaji ya Nagasaki na Hiroshima kila mwaka kwasababu hizohizo za kuwajulisha watu siku hiyo.
Ni vyombo vya kichochezi ambavyo vina sifa ya kupigwa marufuku kupeperusha matangazo yake nchini.
Upuuzi mtupu, angalia Al Jazeera na BBC kila siku wana makala ya vita mbalimbali Ulaya na America.DW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida.