Akili yako ndivyo ilivyo kwakuwa ni yako, baki nayo. Lakini WB, IMF, EU, UN
Akili ni nywele, basi baki na akili zako.
Hawa UN, WB, IMF, EU, nk wanazo taarifa za kiuchumi, kisiasa na kijamii za nchi zote duniani. Wanajua Afrika kuna nini kwenye kila nchi. Unajua jwanini Tanzania wametupandisha kwenye zenye uchumi wa kati? Nchi zipi Afrika wamezipa level ya uchumi wa kati?
Eti barabara zina matobo, ni hoja ya Heche wala sio yako. Lakini ziko nchi hazina hata zenye matobo. Hakuna barabara isiyochakaa duniani kote, na ikichakaa unakarabati palipochakaa hujengi mpya muda huohuo ukishaona tobo moja barabarani. Akili za hivi hazifiki mbali.