kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #41
Serikali yetu sisi inahudumia wananchi wake, huna sababu ya kufa eti kwasababu unataka kuiondoa serikali hii ambayo inasamba chakula kwa wananchi ili wafise kwa njaa, inasambaza umeme, maji, shule, hospitali, barabara, reli, meli na pembejeo kwa wananchi.So in the end you will kill them all and rule an empty land. You are mad then. Sasa kwa nini tuna serikali, mahakama, na magereza? Maana kila kosa tunaweza kupiga bunduki na kuondoka tumemaliza.
Hii sio serikali ya kuua watu inaowatumikia bali utakufa kama ukikinukisha.