Mashirika ya utangazaji DW na BBC mtuletee pia kumbukumbu ya mauaji aliyofanya Hitler huko Ujerumani kila mwaka

DW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida.

DW na BBC hawakutaka kuhoji hata mtu mmoja aliyekatwa kidole, kupoteza mali zake kwenye zoezi lile la mapinduzi au hata kuihoji serikali inafanya nini kurudisha huduma zilizovurugwa na zoezi lile la kuipindua serikali lililoshindwa.

BBC na DW watuambie kama ulaya kuna kikundi kilichowahi kuzuia uchaguzi wa nchi husika na nini kilitokea.

Nawaomba DW na BBC wawe wanatuletea kila mwaka kumbukumbu ya tukio la Hitler kuwaua wayahudi kwenye makambi ya mateso huko Ujerumani ili vizazi ambavyo havikuwepo vijue. Pia watuletee kumbukumbu za mauaji ya Nagasaki na Hiroshima kila mwaka kwasababu hizohizo za kuwajulisha watu siku hiyo.

Ni vyombo vya kichochezi ambavyo vina sifa ya kupigwa marufuku kupeperusha matangazo yake nchini.
Mbona mshamba sana wewe.
Wewe angalia You Tube 2nd World War hata kila siku utapata.
 
Zipo documentary za kutosha kuhusu hitler you tube huko na mara kwa mara zinaboreshwa.

Alichokifanya baradhuli samia na vibaraka wake vitaongelewa sana kwa kuwa walifikiri dunia nzima iko kwenye giza totoro kuzimuni kama wao.
 
Wazungu wanafanya kumbukumbu hizo kila mwaka. Wanawafundisha mpaka vichanga wao na vijukuu.
Wewe unataka kuficha ya TZ utakuwa Muuaji.
 
Kwa hiyo ni kulinganisha ili tuhalalishe mauaji....
 
Hivi vyombo vya wahuni wa dunia kuhakikisha wanaendelea kuikoloni dunia hasa Africa yenye mamilioni ya watu wasiojielewa.

ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni
 
Kwa hiyo ni kulinganisha ili tuhalalishe mauaji....
Kutonesha machungu hakuijengi jamii. Ni uchochezi.

Waliosababisha tujikwae namna ile ni chadema, kanisa na kundi la wanaCCM. Hawa ndio wanaopaswa kuwalipa vijana waliowasukumia kwenye shimo la mauti. Hawapaswi kuigeuzia kibao serikali.

Haya makundi matatu ndio wanapaswa kuulizwa damu za vijana ambao hata hawaijui Katiba wala tume ya uchaguzi. Hawajui hata DP world ni nini na tofauti yake na Ticks ni ipi. Hawa vijana walitumiwa tu kama jalo ya kuchotea mkaa wa moto halijui huo moto unapelekwa wapi kwa kazi gani.

Ukweli haya makundi lazima yafilisiwe mali zao kulipa fidia za waliokufa, kujeruhiwa na mali zote zilizoharibiwa na kupoteza. Hasara ni kubwa sana iliyosababishwa na makundi yaliyotaka kuipindisha Katiba halali kabisa ya Jamhiri ya Muungano wa Tanzania.
 
Wazungu wanafanya kumbukumbu hizo kila mwaka. Wanawafundisha mpaka vichanga wao na vijukuu.
Wewe unataka kuficha ya TZ utakuwa Muuaji.
Mwaka huu hiyo kumbukumbu ya mauaji aliyofanya Adolf ilikuwa lini? DW waliitangaza?.
 
Zipo documentary za kutosha kuhusu hitler you tube huko na mara kwa mara zinaboreshwa.

Alichokifanya baradhuli samia na vibaraka wake vitaongelewa sana kwa kuwa walifikiri dunia nzima iko kwenye giza totoro kuzimuni kama wao.
Hii ya kwetu haina maana yoyote kwetu kwakuwa wakileta vurugu tena kama au zaidi ya zile wataminywa tena kama au zaidi ya vile.

Hapa kwetu ni vijana wasioijua katiba iliyopo kutumiwa kudai Katiba mpya. Waliowatumia wale vijana kwa sababu zao sasa hivi damu za vijana wale zinawafuata hata madhabahuni, vitandani na hata chooni, kwakuwa walikuwa walijua kuwa vijana wale wataumizwa na kuuliwa, sema tu walidhani kuwa watakufa vijana kidogo tu na wengi wangefanikisha, ikawa kinyume chake wakabondwa pondwa na kubondwa bila kufanikisha.

Katika hali ya kawaida waliowatuma vijana kupindua serikali ndio wanapaswa kuadhibiwa na kulipa fidia
 
Kwa hiyo ni kulinganisha ili tuhalalishe mauaji....
WEwe hujawahi kutekwa hata siku moja. Hebu waambie kwanini wewe hujawahi kutekwa. Hufanyi au unafanya nini kuepuka kutekwa? Maana nchi ina watu 70,000,000, wale tunaosikia wametekwa hawazidi 0.00009% ya watu 70m tuliopo nchini. Kaka yangu aliwahi kutekwa lakini na kukaribiwa kuuliwa baada ya kuuza madini fake kwa wafanyabiashara kutoka Arusha wasiokuwa na utaalam mkubwa wa kutambua madini feki.

Bahati nzuri kila aliyetekwa anajua kwanini ametekwa na hata waliomteka (aliowakosea).
 
Eti kupindua serikali?

Kwa hiyo maisha ya watu hayana thamani kulinganisha na CCM kubaki madarakani?
Mtu anaechoma TRA hana thamani kwetu, heri afe. Yaani ni sawa na mtoto wa kiume kumbaka mama yake.

Yaani uchome TRA wewe Junior halafu uwe hai, kesho utachoma nini tena?
 
DW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida.

DW na BBC hawakutaka kuhoji hata mtu mmoja aliyekatwa kidole, kupoteza mali zake kwenye zoezi lile la mapinduzi au hata kuihoji serikali inafanya nini kurudisha huduma zilizovurugwa na zoezi lile la kuipindua serikali lililoshindwa.

BBC na DW watuambie kama ulaya kuna kikundi kilichowahi kuzuia uchaguzi wa nchi husika na nini kilitokea.

Nawaomba DW na BBC wawe wanatuletea kila mwaka kumbukumbu ya tukio la Hitler kuwaua wayahudi kwenye makambi ya mateso huko Ujerumani ili vizazi ambavyo havikuwepo vijue. Pia watuletee kumbukumbu za mauaji ya Nagasaki na Hiroshima kila mwaka kwasababu hizohizo za kuwajulisha watu siku hiyo.

Ni vyombo vya kichochezi ambavyo vina sifa ya kupigwa marufuku kupeperusha matangazo yake nchini.
Wanatangaza na ndo maana kuna siku ya Normady landing day, kuna surrender day siku Ujerumani ilvyosaini nyaraka za kumaliza vita. So sijui unawaza nini ila hawafichi atrocity zao. Tukificha haitakua kwamba haikutokea. Tutakua tunaandika historia potofu.
Tukubali, tuombeane msamaha na tuape never again. We can always discuss our differences. Agreed to disagree but we must take the first step.
 
WEwe hujawahi kutekwa hata siku moja. Hebu waambie kwanini wewe hujawahi kutekwa. Hufanyi au unafanya nini kuepuka kutekwa? Maana nchi ina watu 70,000,000, wale tunaosikia wametekwa hawazidi 0.00009% ya watu 70m tuliopo nchini. Kaka yangu aliwahi kutekwa lakini na kukaribiwa kuuliwa baada ya kuuza madini fake kwa wafanyabiashara kutoka Arusha wasiokuwa na utaalam mkubwa wa kutambua madini feki.

Bahati nzuri kila aliyetekwa anajua kwanini ametekwa na hata waliomteka (aliowakosea).
Unajua kwa nini tuna serikali? Ili isimame katikati ya mkosaji na mkosewa na kuamua. Kama kila mtu anajiamulia namna ya kufanya kuhusu kukosewa then we are a banana republic. Life is precious even to those whom we deem unworthy.
 
Mtu anaechoma TRA hana thamani kwetu, heri afe. Yaani ni sawa na mtoto wa kiume kumbaka mama yake.

Yaani uchome TRA wewe Junior halafu uwe hai, kesho utachoma nini tena?
So in the end you will kill them all and rule an empty land. You are mad then. Sasa kwa nini tuna serikali, mahakama, na magereza? Maana kila kosa tunaweza kupiga bunduki na kuondoka tumemaliza.
 
Wanatangaza na ndo maana kuna siku ya Normady landing day, kuna surrender day siku Ujerumani ilvyosaini nyaraka za kumaliza vita. So sijui unawaza nini ila hawafichi atrocity zao. Tukificha haitakua kwamba haikutokea. Tutakua tunaandika historia potofu.
Tukubali, tuombeane msamaha na tuape never again. We can always discuss our differences. Agreed to disagree but we must take the first step.
Umesikia lini DW swahili na BBC swahili wakitangaza hayo? Nani kawatuma na kuwalipa watangaze ya kwetu kwenye media zao? Wana maslahi gani?
 
Back
Top Bottom