Hapo ndipo mnapokosea. CCM haiwezi kuwepo kama wananchi wakiikataa. Shida kuwa hapa kwetu hakuna chama chenye sera mbadala zinazoeleweka kwa wananchi. Havina sera mbdala kwenye ajira, kilimo, viwanda, elimu, matibabu, usafiri na usafirishaji.Ikiwa serikali ni wananchi kweli, wana uhuru wa kuitoa muda wowote wakitaka kwa mujibu wa sheria zilizowekwa. Haina hodhi dhidi ya nchi bali ina chukua kwa muda fulani dhamana ya kuongoza.
Dhamana inaweza kuchukuliwa muda wowote. Zipo serikali zilifanya vizuri sana ila bado wananchi wakasema hapana hatuwataki
Winston Churchill alikua waziri Mkuu wa Uingereza wakati wa vita. Vita ilivyoisha Ulaya tu wananchi wakasema hapana hatukutaki.
Hakuchukua bunduki zilizokua zinarudi kutoka Ufaransa na Ujerumani kuanza kuwapiga wananchi kwamba nyie hamna shukrani. Lazima ujue dhamana ina muda, inaisha ikifika muda wenu ukaisha.
Takataka zenu huzi hapa. Tulisema ngoma ya wavulana haikeshiVyawa takataka! Sijacheka kiasi hiki siku nzima leo 😂
Calm down mama!
Kujua tu kwamba Hitler aliua wakati wewe hujazaliwa inatosha kukuonyesha kwamba vyombo hivyo vya habari ni makini sio vya brabra kama TBC au Radio oneDW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida.
DW na BBC hawakutaka kuhoji hata mtu mmoja aliyekatwa kidole, kupoteza mali zake kwenye zoezi lile la mapinduzi au hata kuihoji serikali inafanya nini kurudisha huduma zilizovurugwa na zoezi lile la kuipindua serikali lililoshindwa.
BBC na DW watuambie kama ulaya kuna kikundi kilichowahi kuzuia uchaguzi wa nchi husika na nini kilitokea.
Nawaomba DW na BBC wawe wanatuletea kila mwaka kumbukumbu ya tukio la Hitler kuwaua wayahudi kwenye makambi ya mateso huko Ujerumani ili vizazi ambavyo havikuwepo vijue. Pia watuletee kumbukumbu za mauaji ya Nagasaki na Hiroshima kila mwaka kwasababu hizohizo za kuwajulisha watu siku hiyo.
Ni vyombo vya kichochezi ambavyo vina sifa ya kupigwa marufuku kupeperusha matangazo yake nchini.
SHida ya kwenye hili hawasemi kwanini walikufa. Halafu hawasemi kuwa wahaini walivamia vituo vya polisi wakapora silaha na sare za polisi. Asilimia 70 ya waliokufa walipigwa waliuliwa na wahaini waliovalia sare za polisi kwa lengo la kuuwa wengi ili ICC wa wadau wengine waingie mzigoni kuwqsaidia, mbinu ambayo pia iligonga mwamba.Kujua tu kwamba Hitler aliua wakati wewe hujazaliwa inatosha kukuonyesha kwamba vyombo hivyo vya habari ni makini sio vya brabra kama TBC au Radio one
Sio lazima wananchi wakabidhi nchi kwa chama. Nenda kaangalie uchaguzi wa Serbia uliopita juzi. Chama tawala kimeshindwa na wanafunzi. Wale wanafunzi hawana chama.Hapo ndipo mnapokosea. CCM haiwezi kuwepo kama wananchi wakiikataa. Shida kuwa hapa kwetu hakuna chama chenye sera mbadala zinazoeleweka kwa wananchi. Havina sera mbdala kwenye ajira, kilimo, viwanda, elimu, matibabu, usafiri na usafirishaji.
Wapianzani wanataka kutengeza nchi nyingine kabisa yenye Tanganyika, ubepari kama nchi za Magharibi na majimbo badala ya mikoa. Hii ni tofauti kubwa ambayo ni vigumu watanzania kukuachia nchi waliyoizoea ikiwa na tawala zq mikoa, ujamaa na kujitegemea na muungano wq serikali mbili.
Muungano wa serikali mbili sio sera ya serikali ni sera ya CCM. Serikali kwa maana ya wananchi tunataka either serikali moja au serikali tatu. Uamuzi wetu upigiwe kura tuamue. Raisi wa Jamhuri akiwa kutoka Zanzibar ana mamlaka na mambo ya Tanganyika yasiuokua ya Muungano ila raisi wa Jamhuri akiwa kutoka Tanganyika kuna mambo ya Zanzibar hana mamlaka nayo.Hapo ndipo mnapokosea. CCM haiwezi kuwepo kama wananchi wakiikataa. Shida kuwa hapa kwetu hakuna chama chenye sera mbadala zinazoeleweka kwa wananchi. Havina sera mbdala kwenye ajira, kilimo, viwanda, elimu, matibabu, usafiri na usafirishaji.
Wapianzani wanataka kutengeza nchi nyingine kabisa yenye Tanganyika, ubepari kama nchi za Magharibi na majimbo badala ya mikoa. Hii ni tofauti kubwa ambayo ni vigumu watanzania kukuachia nchi waliyoizoea ikiwa na tawala zq mikoa, ujamaa na kujitegemea na muungano wq serikali mbili.
Nuremberg cases ushawahi zisoma? Je tuna huo ujasiri wa kuwa na mahakama kama Nuremberg? Ziexamine state conduct before, during and after last year elections?SHida ya kwenye hili hawasemi kwanini walikufa. Halafu hawasemi kuwa wahaini walivamia vituo vya polisi wakapora silaha na sare za polisi. Asilimia 70 ya waliokufa walipigwa waliuliwa na wahaini waliovalia sare za polisi kwa lengo la kuuwa wengi ili ICC wa wadau wengine waingie mzigoni kuwqsaidia, mbinu ambayo pia iligonga mwamba.
Unavyoteseka unatamani hata siku ya tarehe 29 october ingefutika kabisa 😂.DW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida.
DW na BBC hawakutaka kuhoji hata mtu mmoja aliyekatwa kidole, kupoteza mali zake kwenye zoezi lile la mapinduzi au hata kuihoji serikali inafanya nini kurudisha huduma zilizovurugwa na zoezi lile la kuipindua serikali lililoshindwa.
BBC na DW watuambie kama ulaya kuna kikundi kilichowahi kuzuia uchaguzi wa nchi husika na nini kilitokea.
Nawaomba DW na BBC wawe wanatuletea kila mwaka kumbukumbu ya tukio la Hitler kuwaua wayahudi kwenye makambi ya mateso huko Ujerumani ili vizazi ambavyo havikuwepo vijue. Pia watuletee kumbukumbu za mauaji ya Nagasaki na Hiroshima kila mwaka kwasababu hizohizo za kuwajulisha watu siku hiyo.
Ni vyombo vya kichochezi ambavyo vina sifa ya kupigwa marufuku kupeperusha matangazo yake nchini.
Hao wananchi wa hivyo bado hatunao. Tuna wananchi ambao bado wanajisaidia vichakani na kulala na kuku wakiwa uvunguni mwa kitanda kwenye nyumba za tembe. Bado sana aloo. Umeona wapi wananchi wasiojali vidole vya watanzania wenzao?Sio lazima wananchi wakabidhi nchi kwa chama. Nenda kaangalie uchaguzi wa Serbia uliopita juzi. Chama tawala kimeshindwa na wanafunzi. Wale wanafunzi hawana chama.
Wenye nchi ni wananchi. Wanaweza kuamka siku yeyote na kuitaka nchi yao. Wataiendeshaje ni wao watajua. Chama kinachounda serikali kwa sasa kimejisahau. Vyombo vya dola pia vimejisahau. Vinatakiwa visiwe na chama. Vinatakiwa vimtumikie yeyote atakayeshinda uchaguzi ulio huru na haki. Kwa sasa vimegeuka tawi la chama tawala. Tukiacha hali hii iendelee tutafika sehemu tutakua na complete state capture by the rulling cabals. Ukifika hatua hiyo hakuna kurudi nyuma maana madaraka yanakua ni matamu zaidi. Pia kunakua na vingi vya kulinda. Ndo maana leo Venezuela ni a failed state, Iran also and Afghanistan. If we ain't careful, we are next.
Hao wananchi walikwambia hayo lini, wapi na wako wangapi?. Sema mm sitaki serikali 2. Najua umefuata mkumbo tu bila kujua faida na hasara ya kuwa na serikali 3 au 2.Muungano wa serikali mbili sio sera ya serikali ni sera ya CCM. Serikali kwa maana ya wananchi tunataka either serikali moja au serikali tatu. Uamuzi wetu upigiwe kura tuamue. Raisi wa Jamhuri akiwa kutoka Zanzibar ana mamlaka na mambo ya Tanganyika yasiuokua ya Muungano ila raisi wa Jamhuri akiwa kutoka Tanganyika kuna mambo ya Zanzibar hana mamlaka nayo.
Huu ni upungufu mkubwa mno maana hawezi kuwa na uchungu na vitu vya Watanganyika ambavyo havimhusu.
Kamsome Nyerere wakati anazima wimbi la kudai serikali tatu Mwaka 1993 na 1994.
Na ni ujamaa upi tulionao ambao matajiri watano wanamiliki uchumi wetu kwa asilimia karibu 40%?
Nilitamani waandamane tena 29 october, 2026 lakini waliotea hawakuandamana. Tulitaka tuwaonyeshe demo ya ubaya wa kuichezea Katiba.Unavyoteseka unatamani hata siku ya tarehe 29 october ingefutika kabisa 😂.
Au tuanze kuadhimisha kumbukumbu kila tarehe 29 ya mwezi?
ber
Kwa nini sio moja? Kwa nini haipo kwenye akili zenu kwamba moja jumlisha moja ni moja kamili?Hao wananchi walikwambia hayo lini, wapi na wako wangapi?. Sema mm sitaki serikali 2. Najua umefuata mkumbo tu bila kujua faida na hasara ya kuwa na serikali 3 au 2.
Kwa hiyo watawala wanafanya wayafanyayo kwa sababu wananchi bado wapo kwenye giza? Unatakiwa kuwa mfano mzuri hata kama anayekuangalia hakuoni.Hao wananchi wa hivyo bado hatunao. Tuna wananchi ambao bado wanajisaidia vichakani na kulala na kuku wakiwa uvunguni mwa kitanda kwenye nyumba za tembe. Bado sana aloo. Umeona wapi wananchi wasiojali vidole vya watanzania wenzao?
Serikali inayoshindwa kuzuia maandamano na ghasia bila kutumia mitutu na risasi za kuua.Mtu anaechoma TRA hana thamani kwetu, heri afe. Yaani ni sawa na mtoto wa kiume kumbaka mama yake.
Yaani uchome TRA wewe Junior halafu uwe hai, kesho utachoma nini tena?
Shida yenu mnadhani kuwa UN, EU, WB, IMF na dunia haijui kuwa Tanzania:Kwa hiyo watawala wanafanya wayafanyayo kwa sababu wananchi bado wapo kwenye giza? Unatakiwa kuwa mfano mzuri hata kama anayekuangalia hakuoni.
Bro sidai kusikilizwa na kupewa nafasi kwa sababu WB au UN wameniambia. Ni haki yangu ya msingi. Na kwa mfano hizo barabara unazojivunia ni zipo? Hizo zenye matobo makubwa kuliko kaptula yangu ya primary au hizo ambazo tunakaa foleni masaa matatu ili kufika katikati ya Dar Es Salaam?Shida yenu mnadhani kuwa UN, EU, WB, IMF na dunia haijui kuwa Tanzania:
1. ni kimbilio la wakimbizi wengi
2. kuna reli ya umeme
3. imesambaza umeme vijiji vyote
4. imesambaza shule nchi nzima vijiji vyote
5. imesambaza huduma za afya nchi nzima kila kijiji
6. wanawake wana haki sawa
7. ina akiba kubwa ya chakula (hakuna njaa)
8. imenunua ndege zake
9. barabara zake nyingi ni lami.
10. inashiriki kwenye operations za UN za kulinda amani
11. kila mtu anayo ardhi hata wale waliozaliwa maeneo yenye ardhi finyu.
12 inahifadhi kikamilifu misitu, wanyamapori na vyanzo vya maji.
13. hakuna ukabila wala udini wa waziwazi
14. Imedumisha muungano wake kwa muda mrefu.
Nchi isiyojali watu wake haiwezi kuyafanya yote haya. Nchi kama hii haiwezi kuua watu wake hovyo tu bila sababu za msingi. Huwezi kuiandikaandika hovyo nchi kama hii. Huwezi kuichafua kirahisi kama walivyodhani.
Acha kuweweseka. Ukishamwaga damu ya binadamu hakuna kukwepa; uwe tayari kukutana na taswira ya jinamizi la mauaji (in your face) maisha yako yote. Kuwachukia DW ni kupoteza muda. Wana documentaries za matukio makubwa yasiyo ya kawaida dunia nzima.DW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida.
DW na BBC hawakutaka kuhoji hata mtu mmoja aliyekatwa kidole, kupoteza mali zake kwenye zoezi lile la mapinduzi au hata kuihoji serikali inafanya nini kurudisha huduma zilizovurugwa na zoezi lile la kuipindua serikali lililoshindwa.
BBC na DW watuambie kama ulaya kuna kikundi kilichowahi kuzuia uchaguzi wa nchi husika na nini kilitokea.
Nawaomba DW na BBC wawe wanatuletea kila mwaka kumbukumbu ya tukio la Hitler kuwaua wayahudi kwenye makambi ya mateso huko Ujerumani ili vizazi ambavyo havikuwepo vijue. Pia watuletee kumbukumbu za mauaji ya Nagasaki na Hiroshima kila mwaka kwasababu hizohizo za kuwajulisha watu siku hiyo.
Ni vyombo vya kichochezi ambavyo vina sifa ya kupigwa marufuku kupeperusha matangazo yake nchini.
Akili yako ndivyo ilivyo kwakuwa ni yako, baki nayo. Lakini WB, IMF, EU, UNBro sidai kusikilizwa na kupewa nafasi kwa sababu WB au UN wameniambia. Ni haki yangu ya msingi. Na kwa mfano hizo barabara unazojivunia ni zipo? Hizo zenye matobo makubwa kuliko kaptula yangu ya primary au hizo ambazo tunakaa foleni masaa matatu ili kufika katikati ya Dar Es Salaam?
Ukiwa unasifia jifunze hoja zinazoonekana. Hizo shule kama ni nzuri sana watoto wenu wanfanya nini IST? Au kwa nini hospitalini hakuna dawa? Maana hata Muhimbili niliwahi kwenda na nikakosa dawa basic ya Tsh 65,000.
Akili ni nywele, basi baki na akili zako.Bro sidai kusikilizwa na kupewa nafasi kwa sababu WB au UN wameniambia. Ni haki yangu ya msingi. Na kwa mfano hizo barabara unazojivunia ni zipo? Hizo zenye matobo makubwa kuliko kaptula yangu ya primary au hizo ambazo tunakaa foleni masaa matatu ili kufika katikati ya Dar Es Salaam?
Ukiwa unasifia jifunze hoja zinazoonekana. Hizo shule kama ni nzuri sana watoto wenu wanfanya nini IST? Au kwa nini hospitalini hakuna dawa? Maana hata Muhimbili niliwahi kwenda na nikakosa dawa basic ya Tsh 65,000.
Jiinamizi wanalo chadema na maaskofu waliowasukuma vijana wadogo wachome vituo vya polisi huku wakijua lazima watauliwa tu. Dhambi hii itawatafuna vibaya sana hakika nawaambia. Walitaka kunufaika kutumia damu za watoto wasiojua hili wala lile. Vijana ambao hata wangefanikisha kuiangusha nchi wasingenufaika na chochote.Acha kuweweseka. Ukishamwaga damu ya binadamu hakuna kukwepa; uwe tayari kukutana na taswira ya jinamizi la mauaji (in your face) maisha yako yote. Kuwachukia DW ni kupoteza muda. Wana documentaries za matukio makubwa yasiyo ya kawaida dunia nzima.
Tukio la Oktoba 2025 Tz ilikuwa funga kazi; limeweka record na kuenea media zote kubwa za kimataifa. Huko neno "uchochezi" halijulikani. Kila wakiwa na slot watakuwa wakilieneza tukio wanavyotaka. You better get used to that.