Kijana wa Ifoza
JF-Expert Member
- Oct 31, 2025
- 1,180
- 2,302
Hivi huyu jamaa ni CCM ama ana troll?Nuremberg cases ushawahi zisoma? Je tuna huo ujasiri wa kuwa na mahakama kama Nuremberg? Ziexamine state conduct before, during and after last year elections?
Zioneondoe Presidential immunity kwenye document zinazohusu communication between all parties who were privy to the security assessment about the threat we faced as a country before going to the election? Will they allow them to be opened?
Nahisi ni troll. Mtu lazima areason.Hivi huyu jamaa ni CCM ama ana troll?
Sikatai hakuna barabara isiyo chakaa, japo zile za Warumi za mwaka 20AD bado zipo ila Tanzania tuna mfuko wa Road Fund. Mfuko huu kila siku ukinunua lita ya petrol unaweka 363. Fedha hii 263 hutakiwa kwenda Tanroad kwa ajili ya ukarabati.Akili yako ndivyo ilivyo kwakuwa ni yako, baki nayo. Lakini WB, IMF, EU, UN
Akili ni nywele, basi baki na akili zako.
Hawa UN, WB, IMF, EU, nk wanazo taarifa za kiuchumi, kisiasa na kijamii za nchi zote duniani. Wanajua Afrika kuna nini kwenye kila nchi. Unajua jwanini Tanzania wametupandisha kwenye zenye uchumi wa kati? Nchi zipi Afrika wamezipa level ya uchumi wa kati?
Eti barabara zina matobo, ni hoja ya Heche wala sio yako. Lakini ziko nchi hazina hata zenye matobo. Hakuna barabara isiyochakaa duniani kote, na ikichakaa unakarabati palipochakaa hujengi mpya muda huohuo ukishaona tobo moja barabarani. Akili za hivi hazifiki mbali.
Put it however you wish, wewe ndiye unayesumbuka na habari hizo hadi kuzilalamikia kila zinapofumuliwa na media huko nje. CDM wametulia hawajishughulishi na hizo taarifa kwa vile wao sio waliotandika risasi wananchi mitaani na majumbani. Waliotandika wananchi risasi ndio wanaojua faida na raha ya damu. I do not care.Jiinamizi wanalo chadema na maaskofu waliowasukuma vijana wadogo wachome vituo vya polisi huku wakijua lazima watauliwa tu. Dhambi hii itawatafuna vibaya sana hakika nawaambia. Walitaka kunufaika kutumia damu za watoto wasiojua hili wala lile. Vijana ambao hata wangefanikisha kuiangusha nchi wasingenufaika na chochote.
kama kenge akikwambia mamba ni mgonjwa lazima umuamini maana wako wote ziwani huko. Lema kasema chadema ya Heche, sarungi, Hilda, mange na diaspora ilitaka kupindua serikali, hata Lissu hakulijua hilo.Put it however you wish, wewe ndiye unayesumbuka na habari hizo hadi kuzilalamikia kila zinapofumuliwa na media huko nje. CDM wametulia hawajishughulishi na hizo taarifa kwa vile wao sio waliotandika risasi wananchi mitaani na majumbani. Waliotandika wananchi risasi ndio wanaojua faida na raha ya damu. I do not care.
The sad thing, hakuna jamii iliyopona hizo siku za maafa. Wafuasi kibao wa CCM pia walikula chuma na miili yao kupotezwa. Dini zote walikula chuma. Hata watoto nao walikula chuma. Watu wa mikoa na maeneo yote ya Tanzania walikula chuma. Hiyo ndiyo CCM unayoipigia debe. Kama wote hao walikuwa na mpango na uwezo wa kupindua nchi mimi sijui and I really do no't care.
Kwahiyo wewe huoni barabara, madaraja wala vivuko vinavyojengwa hapa nchini. Semeni chochote lakini sisi tuna macho tunaona. Akili zetu hazitegemei akili za Heche au mange kama nyinyi.Sikatai hakuna barabara isiyo chakaa, japo zile za Warumi za mwaka 20AD bado zipo ila Tanzania tuna mfuko wa Road Fund. Mfuko huu kila siku ukinunua lita ya petrol unaweka 363. Fedha hii 263 hutakiwa kwenda Tanroad kwa ajili ya ukarabati.
Tunatumia wastani wa mafuta lita 340 M kila mwezi. Kwa stahili hii wenye vyombo vya usafiri huchangia 90 billion kila mwezi ya ukarabati. Je zinaenda wapi?
Barabara hapiti Heche tu. Nyie mnapanda ndege hamuoni ya chini huku.Hatulalamiki maana ni vizuri. Tunasema maana ni vibaya.
Tunaweza kuendesha nchi yetu bila WB na UN jama tutaheshimiana. Tatizo huko juu mnataka tuwaheshimu tu lakini nyie hamtaki kutuheshimu.
Umetoka kuniondoa kwenye wingi kwamba nisisemee wengine. Na wewe usisemee wengine. Jisemee mwenyewe.Kwahiyo wewe huoni barabara, madaraja wala vivuko vinavyojengwa hapa nchini. Semeni chochote lakini sisi tuna macho tunaona. Akili zetu hazitegemei akili za Heche au mange kama nyinyi.
Kwan hawaripoti? Itakua unaangalia tbc, vyombo vyote vya nje vinaripoti tena kwa uwazTunataka watuletee zaidi habari kama hizi hapa:
View: https://youtu.be/-8WMoQACsFk?si=kA7CwFtFLp-fZBTB
Kaka hakuna kiongozi ambae atawapenda wananchi wake zaidi ya hivi hapa, mengine yote ni siasa na porojo tuUmetoka kuniondoa kwenye wingi kwamba nisisemee wengine. Na wewe usisemee wengine. Jisemee mwenyewe.
Na hatukosoi kwa sababu tunaichukia hii nchi. Tunakosoa kwa sababu tunaipenda na tunapenda tuwaachie na vizazi vyetu urithi ulio mwema.