Masikini wasipewe vibali kujenga mjini. Huchafua miji na vijumba vyao

Masikini wa Leo ni Tajiri wa Kesho na Vice Versa....

Ofcourse naturally mtu unajenga sehemu kulingana na kipato kama hauna pesa utawezaje kununua kiwanja Prime Area, Na Cost of Living sehemu hiyo itakufanya uondoke tu...

Swali linakuja kama leo ni tajiri kesho ukiwa masikini ufukuzwe ?

Jibu ni hapana ila naturally cost of living ya sehemu husika itakufanya mwenyewe ujichuje (Na huko ndio tunakoelekea na hizi Kodi / Tozo usishangae wazawa wengi wakakimbia miji). Ila kwa nchi iliyopangika na mipango mizuri sio kila mtu unajijengea Developers wanajenga wengine ni kuchukua Mortgages....
 


Hiyo ndio akili.

Sio kila Jambo unapaswa ufanye.
 
Leo kwa mara ya kwanza naunga mkono mada yako, maskini akipata milioni moja tu anawaza kujenga..mwisho wa siku anajenga kitu cha hovyo.

Basi serikali za mitaa na miji waweke mpango wa upangiliaji makazi utakao ongozwa na sheria ya mipango mitaa na mipango miji kuhusu umuhimu wa kuwepo huduma za maji, barabara, muelekeo wa nyumba ziangalie wapi, bila kusahau nyumba za bajeti ipi zijengwe wapi lakini nyumba zote au 'vibanda' zifuate sheria za majenzi na mipango miji na mitaa.
 
Yani watu wajenge kwenye viwanja vya 10 kwa 10 eti kisa kesho watakuwa Matajiri


Ndio maana waafrica hatuendelei kwa Imani za kipumbavu!


Ile Tandika , Manzese, Mabibo , Vingunguti , Mpaka Buza unadhani zitakuwa lini kwenye mipango ya kueleweka ! ... Kote huko watu walijenga kwa kufuata hiyo Imani yako kuwa Ni masikini wa leo na kesho watakuwa Matajiri !
 
Hiyo ndio akili.

Sio kila Jambo unapaswa ufanye.
Naam sio masikini tu hata matajiri, developers wanajenga kulingana na Mipango Miji..., sio sehemu ya nyumba za chini wewe unajenga ghorofa lako hence kuchungulia watu wakiwa garden kwa chini au kuzuia upepo mwanana uliokuwa unawaburudisha majirani (Mipango iwepo sehemu za maghorofa ni ghorofa na sehemu za nyumba za kawaida ni kawaida....
 
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

Depal

Kwakweli matajiri wanavuka mipaka na mipanya pia.

Maskini ni tatizo mjini hahahahhaaaaaaahahahahhahaha
 
Umesoma nilichoandika mpaka mwisho ?, Point ni kwamba hata tajiri wa leo kesho anaweza akawa masikini hence maintenance ya hio nyumba kumshinda ila naturally cost na gharama ya sehemu husika itamfanya mtu kuhama / kuondoka. Point kubwa haifai kila mtu ajijengee wawepo developers wanafuata mipango miji...
 
Hahahhahahahahhahahah

Kuzimu ya maskini na matajiri ni tofauti kwa kweli

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂


Masikini wanapenda kujifariji Sana.

Mmezaliwa sehemu tofauti,
Mmekulia mahali tofauti,
Mmesoma sehemu tofauti,
Mnafanya kazi sehemu tofauti,
Mnafungua Harusi sehemu tofauti,
Mmezikwa makaburi tofauti,
Alafu leo muende kuzimu Sawa.

😄😄😄
 
Ukweli Mchungu.... Wanaoharibu mipangilio na mwonekano wa miji ni siye masikini...
 
Samahani Mkuu

Hah ! Hah ! Nimesoma historia na kukumbana na Dr. Kaizer Matanzima Paramount Chief Kaizer Daliwonga Matanzima | Nelson R. Mandela School of Law msomi mmoja wa South Africa alikuwa ana mawazo kama wewe. Hakika somo la historia ni jema sana.


17 Jan 2021
Puppet or Leader ? I don't belive he said this - Dr Kaizer Matanzima

He was a leader of a so called "independent homeland" in South Africa during the apartheid rule. He was leader of Transkei, one of the 9 homelands that was t designed as a mechanism to oppress and ostracise black people from the economy and wealth of South Africa by forcefully putting them in the most remote and rural areas with absolutely nothing.

Source : MrTipps


16 Aug 2015
South african apartheid explained by official of native Affairs department

This was filmed by an American film crew in 1957 in Mamelodi near Pretoria, South Africa. Mr. Prinsloo is a representative from the Native Affairs or Bantu Affairs department under Hendrik Verwoerd who was the minister of native affairs at that time looking after the interest of Black Africans. Note that there is no police or body guards present when Prinsloo is interviewed and he's questioned about the policy of separate development (and how the camera crew actually tries to cover this up by changing the perspective). The township has only recently been build for Blacks that previously were residing in south african slums.
Source : Apartheid Wetenskaplike
 
Waliosema DSM inaongoza Kwa wagonjwa wa akili huenda walikutana na binadamu Kama wewe ndo wakaja na Ile takwimu
 
Weka kigezo cha maskini. Kwa maana siyo wote wenye nyumba mbovu ni masikini.
 
Ukweli mchungu Mimi naaamini hakuna maskini atakaeurithi ufalme wa mungu yaan kirahisirahisi tu mungu awarithishe ufalme maskini hell no maskini ni kiberiti tu full stop hamna hata kuburgain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…