Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #141
Weka kigezo cha maskini. Kwa maana siyo wote wenye nyumba mbovu ni masikini.
Ukweli mchungu Mimi naaamini hakuna maskini atakaeurithi ufalme wa mungu yaan kirahisirahisi tu mungu awarithishe ufalme maskini hell no maskini ni kiberiti tu full stop hamna hata kuburgain
Masikini hafai kupewa hata nafasi ya uongozi Kama urais au waziri,
Wanakuwaga na roho mbaya na chuki mno kwa kila mtu
Huyu jamaa anajikutaga anajua sana, halfu mweupe tu
Ok sawa. Mashetani wengine tupo huku sokoni, yaani bidhaa tunapangiwa chini wakati wa mvua kuna matope na maji machafu...ukishangaa shangaa unapigwa kumbo na kibega aliyebeba gunia la Vitunguu nusura unataka kumuangukia Mama Muuza nyanya.Utofauti upo Mkuu.
Ngoja nitoe sifa za makazi ya mashetani yalivyo;
1. Hayajakaa kimpangilio mzuri. Mashetani hayapendagi mpangilio. Yanafanyaga mambo hovyohovyo.
2. Pananuka na pachafu. Hii ni kutokana mashetani hupenda uchafu na harufu mbaya.
3. Yamekata miti alafu yakashindwa kupanda miti mingine, hayana Bustani hata ya Maua kwani hayapendi kukaa sehemu nzuri,
4. Yanatesa viumbe vya Mungu. Ukikuta yanafuga mbwa au Paka utakuta vimbwa vimekondeana na Paka wamejawa na masizi Kwa wizi.
5. Makelele. Mashetani hayapendi utulivu. Muda wote kelele na fujo. Manyimbo ya hovyo hovyo tuu.
Waliosema DSM inaongoza Kwa wagonjwa wa akili huenda walikutana na binadamu Kama wewe ndo wakaja na Ile takwimu
[emoji23][emoji23]yaani mtu umeshindwa duniani kumiliki makazi Bora eti mungu akupe ufalme hahaha labda MIUNGU ndio inaweza fanya ujinga huo na sio MUNGU WA ISRAEL[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kwa hiyo hatutarithi... Daah
Ok sawa. Mashetani wengine tupo huku sokoni, yaani bidhaa tunapangiwa chini wakati wa mvua kuna matope na maji machafu...ukishangaa shangaa unapigwa kumbo na kibega aliyebeba gunia la Vitunguu nusura unataka kumuangukia Mama Muuza nyanya.
Ili hali Matajiri wananunu mahitaji yao kwenye majumba yenye AC na tiles na Vibega wanaishia Mlango wa nyuma huko wala hawawezi kuonana na Mteja.
[emoji23][emoji23]yaani mtu umeshindwa duniani kumiliki makazi Bora eti mungu akupe ufalme hahaha labda MIUNGU ndio inaweza fanya ujinga huo na sio MUNGU WA ISRAEL
Pambana ujitoe kwenye Hilo dimbwi la umaskini la sivyo subir kiberiti tu mkuu hamna namna maskini mmeharibu Sana hii dunia mungu hawezi kuwasamehe abadanSasa tufanyeje Mkuu
Pambana ujitoe kwenye Hilo dimbwi la umaskini la sivyo subir kiberiti tu mkuu hamna namna maskini mmeharibu Sana hii dunia mungu hawezi kuwasamehe abadan
Pambana ujitoe kwenye Hilo dimbwi la umaskini la sivyo subir kiberiti tu mkuu hamna namna maskini mmeharibu Sana hii dunia mungu hawezi kuwasamehe abadan
Sema nini mwanangu fahamu kabsa kuita watu maskini mashetani kisa Hali duni ya Maisha umezingua kakaKama lishe mbofu unategemea mtu asiwe na magonjwa ya akili??
Sema nini mwanangu fahamu kabsa kuita watu maskini mashetani kisa Hali duni ya Maisha umezingua kaka
Hela,majumba na magari ni vitu vya kupita ila hakikisha vinapitia na kwako kabla hujafa.We only live once,,at finally you will die.
Mimi kama Muislam hakuna sehemu nimeona kwenye Qur an pameandikwa Allah ni maskini. Sisi tunafundishwa Allah ni tajiri na yeye ndio mfalme wa wafalme wote. Nguvu zote na mali zote ni zake.Hilo halizuii ukweli kuwa Masikini wanavuruga mambo mengi Duniani.
Hayo ya kesho yapo tuu, yawe mazuri yawe mabaya tutayakabili Kwa nguvu zote Kwa uweza wa MUNGU mwenye Nguvu na tajiri.
cc DepalMasikini wana roho mbaya sana, halafu wengi wao wanafikiri wakikuchukia na kukusema ndiyo wanaziba Neema ya Mungu kwako, Wasichojua kuwa wanapokuchukuia wanaziba rizki zao wenyewe. Mungu awape ufahamu.