Utofauti upo Mkuu.
Ngoja nitoe sifa za makazi ya mashetani yalivyo;
1. Hayajakaa kimpangilio mzuri. Mashetani hayapendagi mpangilio. Yanafanyaga mambo hovyohovyo.
2. Pananuka na pachafu. Hii ni kutokana mashetani hupenda uchafu na harufu mbaya.
3. Yamekata miti alafu yakashindwa kupanda miti mingine, hayana Bustani hata ya Maua kwani hayapendi kukaa sehemu nzuri,
4. Yanatesa viumbe vya Mungu. Ukikuta yanafuga mbwa au Paka utakuta vimbwa vimekondeana na Paka wamejawa na masizi Kwa wizi.
5. Makelele. Mashetani hayapendi utulivu. Muda wote kelele na fujo. Manyimbo ya hovyo hovyo tuu.