Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
Kwa mara ya kwanza leo Masoud Kipanya ameanzisha mjadala wenye heshima kwa Radio Clouds.
Ameanzisha mada ya kumuonya IGP Sirro baada ya magazeti kum-quote akionya wanasiasa kwa kauli ziwezavyo kuchafua amani.
Wamemhoji mbona kuna mtu kila siku anajirekodi na kurusha habari za uchochezi akiwa kavaa vikaunda suti vyake na hachukui hatua?
Je, hamuoni? Inakuwaje IGP anakuwa na tabia ya uongo hadharani ili kulinda double standard zake katika nchi.
Amekumbushwa kuwa mtu huyo anaye jirekodi na kurusha mitandaoni anatumwa na nani hadi yeye Sirro hamuoni akitukana watu tena wengine viongozi kabisa?
Je, ni nani huyo anayetuhumiwa kuharibu amani lakini IGP hamuoni?