Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,254
KP Ni mtu asiye muoga Kama yule mwenzake msoma magazeti (Sam)..
Huyo sam anakuwaga na wenge hata vitu vya kawaida na mara nyingi kp akiimdadis hasa kuhusu upinzani jamaa anapotezea kimawenge.. jamaa muoga Sana Hadi anaboa!