Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,493
- 13,719
Bora hata gunzi kuliko hizo takatakaUnadhani kuna Mtu mwenye akili anasomaga hizo toilet paper?
Bora hata gunzi kuliko hizo takatakaUnadhani kuna Mtu mwenye akili anasomaga hizo toilet paper?
Usikute anapokea maagizo hadi ya kina Mwanaharakati huruSirio anapokea maavgizo toka juu, ukimwangalia, usoni utagundua analazimishwa
Kati ya vitu IGP akiwa kama kiongozi wa usalama nchini ni hili la kuwa na sb standards. Kuna maneno aanayo ongea yana mpunguzia hadhi kama kachero mkuu.Sirio anapokea maavgizo toka juu, ukimwangalia, usoni utagundua analazimishwa
Kwa Mara ya kwanza Leo Masoud Kipanya ameanzisha mjadala wenye heshima kwa Radio Clouds.
Ameanzisha mada ya kumuonya IGP Sirro baada ya magazeti kum quote akionya wanasiasa kwa kauli ziwezavyo kuchafua amani.
Wamemhoji mbona kuna mtu kila siku anajirekodi na kurusha habari za uchochezi akiwa kavaa vikaunda suti vyake na hachukui hatua?
Jee hamuoni? Inakuwaje IGP anakuwa na tabia ya uongo hadharani ili kulinda double standard zake katika nchi.
Amekumbushwa kuwa mtu huyo anaye jirekodi na kurusha mitandaoni anatumwa na nani hadi yeye Sirro hamuoni akitukana watu tena wengine viongozi kabisa?
Jee ninani huyo anayetuhumiwa kuharibu amani lakini IGP hamuoni?
Na yeye ajilazimishe amuonye Cyprian MusibaSirio anapokea maavgizo toka juu, ukimwangalia, usoni utagundua analazimishwa
Wasubiri kupigwa fainiUtaona clouds inapewa onyo na TCRA[emoji1787][emoji1787]
Huyu jamaa ni Musiba bila shakaNdipo Kipanya akauliza wenziwe "Lakini jamani.....mbona kuna jamaa mmoja huwa anatoaga kauli za vitisho sana mitandaoni na kwenye vyombo vya habari lakini hatujawahi hata siku moja kusikia polisi wanachukua hatua zozote?"
Hili ni gazeti la MusibaMbowe utazitema hizo helaView attachment 1534629View attachment 1534630
yeahHuyu jamaa Musiba.