Ukweli usemwe aisee. Hivi anadhani tasnia ya habari wanamfurahia kwa matendo yake??Nimesikiliza aisee. Halafu Barabara anaogopa kusoma maoni ya wadau. kimsingi Masoud ameamua kutoa la moyoni
Ukweli usemwe aisee. Hivi anadhani tasnia ya habari wanamfurahia kwa matendo yake??Nimesikiliza aisee. Halafu Barabara anaogopa kusoma maoni ya wadau. kimsingi Masoud ameamua kutoa la moyoni
Jamaa alizingua eti "Magufuli jembe si jembe" huku anakata uno[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umenikumbusha Kangi Lugola bwashee!
Anashindwa hata kukemea magazeti kama haya?
View attachment 1535194
Tatizo moja kubwa la watanzania ni kupenda kupotosha ukweli au kuchanganya madesa...hili suala lilifikishwa mpaka bungeni lakini Waziri Lugola akatoa majibu ya kifedhuli.
..kwanini serikali na ccm wanaruhusu matusi ya kiwango hiki dhidi ya viongozi wa upinzani?
..kwa kweli ccm inabidi wakae pembeni walau miaka 5, wakirudi watakuwa wamejifunza.
cc Kilatha
Tatizo moja kubwa la watanzania ni kupenda kupotosha ukweli au kuchanganya madesa.
Huyo Kipanya alitakiwa kabla siku aijaisha aitwe kituo cha polisi kupeleka ushahidi wa double standard za IGP vinginevyo apewe onyo.
IGP kauli alizoziita za shari ☝ni icho juu (ata title ya video inasema Lissu ahamasisha, tells huyo aliendika alivyokuwa kiazi hajui hiyo title tu inawaweka pabaya) na kila mtu kasikia hiyo ni psychological preparation ya watu kufanya fujo (incitement) and it’s public order offence.
Yes, Musiba amekuwa akiropoka ovyo so are many other ppl lakini hakuna clip ya Musiba anayoshawishi watu waende nyumbani kwa mtu kufanya fujo, kuingia barabarani kwenda ofisi za chama chochote.
Lissu amekuwa akihamasisha uvunjifu wa sheria mara kadhaa akiwa jukwaani; sio sawa na uropokaji wa Musiba.
Ndio shida ya kuokoteza watu ambao udhani hata taasisi zao zinawapeleka mafunzo kuwaanda ya kuzingatia sambasamba sheria mpya katika utoaji wa habari wala kutengeneza protol zao sambamba na kama sehemu ya everyday practice.
Wizara ikiingilia kati kulazimisha watu wanaofanya kazi kwenye tasnia ya habari wawe na standard fulani za qualification watu wanaanza ohoo ukandamizaji sijui serikali aitaki kukosolewa etc with meaninglessness.
Tena huyu Kipanya kama umeangalia YouTube clip baada ya kuongea upuuzi wake akawa anashadadia comments za wasikilizaji aoni shida point yake ilikuwa na elements za misrepresentation ya kile alichosema IGP, ningekuwa polisi jana angelala sero unless apeleke ushahidi wa double standard za IGP kwa kile alichoongea.
Vitu vingine hawa watu wanajitakia wenyewe.
Hili ndio tatizo watu awatafuti credible sources. Wanaingia JF na kusoma habari za uongo za wanachadema halafu hizo hoja ndio zinakuwa premise ya argument zao...hilo la watendaji wa kata kukimbia ofisi zao na kusababisha wagombea wa upinzani kukosa fomu wewe halikutatizi?
..hujamsikia Musiba akiwalaumu Polisi kwa kutokusambaratisha mapokezi ya TL, na kudai angekuwa yeye angevunja watu wa cdm viuno na miguu? that does not bother you? na unadhani mtu wa cdm angesema hivyo polisi wangemuachia?
..mimi nimemsikiliza IGP, na sikupenda alichokisema. inaelekea IGP anashabikia maovu na dhuluma wanazotendewa wagombea wa upinzani.
Hili ndio tatizo watu awatafuti credible sources. Wanaingia JF na kusoma habari za uongo za wanachadema halafu hizo hoja ndio zinakuwa premise ya argument zao.
NEC wamesema wazi wakati wanatoa mafunzo ya uchaguzi kwa wakurugenzi wasisikie swala la mtu kukosa form ya uchaguzi; ata iweje kila mgombea lazima apewe form sio ombi lilikuwa ni onyo. Mkurugenzi atakaeshindwa kutoa form ataadhibiwa.
Unamsikiliza huyo Lissu anajiropokea tu.
Onyo la Sirro halipo kumuonea mtu ni kitu ambacho kiko wazi Lissu is inciting violence means. Ebu nenda kasome penal code za Tanzania uone kama upuuzi anao ongea Musiba yeye mwenyewe una qualify kama public order offence.
Tatizo lenu ndio hilo mtu anafanya kosa lipo wazi mnatetea na kumchochea halafu mnalinganisha na mifano ambayo sio sahihi.
Usiku mwema mida imeenda huku kujijini kwetu.
Huyo Masudi baada ya kuona michoro yake Haina impact Basi kaamua kutumia kipindi ku preach hate.
Hiyo ni kazi yao Chedema . Ukiifanya wewe, umetumwa