Mbowe utazitema hizo helaView attachment 1534629View attachment 1534630
Unadhani kuna Mtu mwenye akili anasomaga hizo toilet paper?Mbowe utazitema hizo helaView attachment 1534629View attachment 1534630
Kule kwenu mkiwa mnavaa ngozi za kondoo miaka ile ya ukoloni ... Mbowe kwao walishakuwa matajiri. Endelea na ujinga wakoMbowe utazitema hizo helaView attachment 1534629View attachment 1534630
Kama analazimishwa kwanini asijiuzulu? Ameishafikia retirement age.Sirio anapokea maavgizo toka juu, ukimwangalia, usoni utagundua analazimishwa
Huyo dada ni chawa tuNimeskiliza aisee. afu Barbra anaogopa kusoma maoni ya wadau. kimsingi Masoud ameamua kutoa la moyoni
IGP bila aibu alimtetea Musiba kuwa ni informer wa Polisi mitandaoni.Musiba[emoji23][emoji23]
Ni kulinda maslahi yake! TRA wanaweza kumtokea ghaflaKama analazimishwa kwanini asijiuzulu? Ameishafikia retirement age.