Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

Duh! Hao vibaka waliovunjwa miguu mimi siwajui. Ila kama ni vibaka basi nadhani waliohusika kuwavunja miguu walitenda haki "shikilia neno kibaka" means ni wahalifu. Ila sisi sote tunalindwa pamoja na kuwajibishwa na Sheria.
Kwani kama mlikuwa na ubinadamu na kujali utu kwa nini muwafanyie vile? Kwani walikuwa na kosa gani? Pambaneni na ICC kwanza mpate akili.

Lissu usiwaachie hawa vibaka wapumue.
 
Usha wahi zungumzia misaada wanayo tupatia? anza na kuwaambia hao watu wako wakatae misaada kitoka Ulaya hapo watakuwa huru
Hili la kutegemea misaada naliwekea alama?
Kwasababu kila mwaka CAG anaibua ufisadi, tume huundwa nyuma ya mikamera majibu ya hizo tume nyuma ya pazia wakati.

Commissions of inquiries are established for the public interest
 
Wazungu wenyewe wanajipendekeza Tanzania, hawana uwezo wa kutupangia lolote, kila rasilimali wanazotaka wanapata sasa unadhani watafanya nini?? Na huyo Lissu kama ana uwezo awape wanachotaka.Pumbaaf zao!
Wao wakizitaka hizo rasilmali wanazipata tu wakati wowote na kutoka kwa yeyote atakayekuwepo 😳!
Na hata sasa wao ndio wachukuaji wakuu wa hizo rasilmali !
Muhimu wao huwa wanataka mambo yaende to their own terms !
Ili wasidharaulike Duniani ni lazima waonekane wao sio wa kutaka rasilmali tu bali wanahakikisha pia wanazisimamia Nchi ziheshimu Human rights kwa mujibu wa mikataba ya kimataifa 😳 !
Hao jamaa kwa MuDunia hii wao ni kama maji Usipoyaoga Utayanywa mazee 🙌🙌🤷‍♂️ !
 
Swali lipi nimelikimbia Kilaza.
Nilikuuliza kuwa kwenye mikopo yenye masharti nafuu, jee unajua huo unafuu wa hayo masharti? Kama ulivyosikia huyo mbunge anasema hela wanazotoa zinaambatana na masharti ya kuwa na utawala bora na kulindwa kwa haki za binadamu, sasa kama wao viongozi wako wanachekelea tu kupokea bila kusoma hayo masharti hilo ni tatizo lao, lakini hao wahisani wanayo haki wa kuhoji mambo ambayo yako kwenye mikataba ya kupokea fedha zao.
 
Mwenyewe umekaa na kuandika hii...
Hao unao wauliza hawajui hata kama una exist!
Kwa Uwezo huu huwezi kuwa na impact hata kwenye maisha yako binafsi....endelea kuenjoy oxygen ya bure mpaka siku yako itakapofika
 
S
Changamoto uliyonayo ni kujaza kichwani siasa za CCM tu! Ndiyo kusema hata kinachoendelea kuhusiana na siasa za kimataifa duniani hukijui.
Kwa kifupi ili tusiingiliwe na mataifa mengine tusiende kutembeza bakuri huko.
Short and clear haina chenga chenga 🙌🙏
 
You are not serious. Kwenye estimate budget ya 57 Trillion, grants ni 1.2 trillion. Wekezeni kwenye kuijua nchi yenu unless mtaonekana mko misplaced
Wewe wasema wakifunga misaada Tu mtaenda kuwapigia magoti
 
sini unaona kisa ametumia jina lake na amewekewa kile kiverification ndio anaandika ujinga akihisi atateuliwa bora umemuambia ukweli au anahisi kuwa CCM inachokifanya haijui kuwa imekosea inajua ila wana buy time sasa usipowaonesha kwa nguvu kuwa mnachofanya sio sahihi watajisahau na itaonekana ni kawaida ndio maana kila angle wanapigwa spana .
 
Jiulize kwa nini baba yako akikufanyia mambo mabaya jirani anaweza kukusema au kukuripoti polisi. Kuwa na akili kidogo
 
sikuhizi misaada ni biashara, trump alimwambia zelenskly ampe madini vinginevyo hawamsaidii kivita, nasie kama eu wanamtaka lissu watupe hela tuwape vinginevyo tutamyonga masaa mawili baada ya hukumu
Tangu lini misaada ikawa biashara kwa waafrika wewe? Use your head. Mikataba mlishasaini, mtaendelea kuwa watumwa wa hiyo misaada.
 
Acha kujilisha upepo mkubwa, sisiemu ingekua na succession plan isingekuwa inaokota wala kuchezea pesa za umma kununua wapinzani, mtu mwenye akili timamu asingeweza kuchoma hata shilingi kumnunua mtu kama molele godi na kumpa kbs uwaziri!
Yaani kuna watu wanaandika uongo humu jukwaani as if wana JF hatujui ukweli.

CCM haijawahi kuwa na mpango wala mkakati wa kurithishana madaraka wala kutengeneza viongozi.

Kwa hivi karibuni, tumeona watu kutoka CHADEMA wakilamba teuzi za kisiasa kwa wingi, tena wakiwa hawajapata hata mafunzo ya muda mfupi ya "ukada".
 
Mkuu ni kama umeandika kitu kikubwa mno; mikopo ya masharti nafuu ni translation isiyo rasmi sana ya neno Concesion loans. Sasa jaribu kujielimisha kuhusu concesion loans badala ya kuuliza uliza as if unauliza kitu cha maana saaaaana.
 
Mkuu ni kama umeandika kitu kikubwa mno; mikopo ya masharti nafuu ni translation isiyo rasmi sana ya neno Concesion loans. Sasa jaribu kujielimisha kuhusu concesion loans badala ya kuuliza uliza as if unauliza kitu cha maana saaaaana.
Niliyemuuliza alikuwa mgumu kuelewa.
 
Huna ulijualo.
Wakienda kupiga magoti huwa unaambiwa!!?
Si usome budget estimates za mwaka huu??? Utaiona hiyo aiseee?????? Dunia inaondoka kwenye misaada sasa kwenda kwenye loans... misaada ni pesa kidogo sana
 
Eti leo Matonya naye anawahoji wanamsaidia pesa ya kula, ajabu.

Trump kapandisha ushuru Marekani mbona Tanzania haijibu mapigo ni China peke yake ndio inajibu mapigo?

South Africa ndio Taifa kubwa Africa lenye kila kitu lakini kwa mabeberu wananywea wenyewe.

Marekani imemfukuza Balozi wa Douth Africa Marekani ilitakiwa South Africa nao wamfukuze Balozi wa Marekani kwao.

Vichwa vibovu hivi vya wala ubwabwa wa Uvccm ni hasara kwa Taifa.

Ubwabwa eaters.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…