Maswali kuhusu matumizi ya stendi mpya ya mabasi Mbezi (so-called Magufuli)

Mitano tena
 
Otherwise kituo kitakua ni mateso kwa watokeao Kongowe ya Mbagala, Kigamboni na maeneo yale, kwa sababu watalazimika kulala stendi ili kuwahi mabasi yaendayo njia za Morogoro na Bagamoyo.

Ndio hapo huduma inapogeuka kuwa kero kwa watumiaji. Naamini hili watalifanyia tathmin upya.
 
Baadhi ya majina ya asili ya eneo husika ni ngumu Sana kuyabadili Ili yazoeleke.Mfano stand ya mabus mbezi,daraja la ubungo,daraja la tazara.daraja la kilombero.
 
Wananchi wa Dar, mtavurugwa hadi mtapata akili. Hadi mtambue kuwa box la kura Lina dhamani gani
Watu masikini upenda kuchagua matatizo zaidi,waligongwa na nyoka awakusikia ilitakiwa mambo yote yako me October 2020
 
Zile ni siasa tu mbona hata mnyika alikuwa anapigia kelele sanaa, lkn ndio barabara hiyo bila shaka
Anadai hakuombwa vizuri Mnyika alikuwa anamfokea istoshe upinzani kwake ni watoti wa kambo.

Sema nini haina shida afanye afanyavyo wananchi wapewe kinachotakiwa, nilipita hiyo njia ya makabe msakuzi huezi amini kama ni Dar. Watu wamejenga vizuri ila sasa hakuna barabara ya lami wala maji ya Dawasco. Afanye wananchi wafurahie keki ya taifa.
 
Hapana mkuu MUNDENDE kuna mabasi kutoka Tanga , morogoro yanayoenda mtwara wanapanda hayo!

pia ubungo terminal mabasi ya kusini yalikuwepo mengi tu.
Ahaa sawa mkuu mimi naona na wa mbagala watakuwa wanapandia mabasi huko huko hata kama bus litaanzia mbezi lazima lije mbagala liwapick abiria wake then waendeelee na safari ya mtwara
 
Watulie dawa iingie wakitikisika sindano itakatika
 
Huu ujinga upo Tanga,

Mnashushwa Kange, mnapandishwa daladala had mjini, Bus linaenda tupu mjini. Na vice versa

Halafu mizigo mtachukua mjini.
... the same ujinga uko Iringa; mnashushwa Igumbilo, more than 20kms from town halafu gari hiyo hiyo iliyowashusha inawapita ikiwa tupu kwenda huko huko mjini mnakoelekea!
 
Nchi hii viongozi wengi ni washamba washamba tuu na outdated mind thought..... Kwa mji kama DSM ulitakiwa uwe na stendi tatu ....kulingana na mji unavyoingilika kupitia njia kuu..... Hyo stendi ya mbezi baada ya miaka mitano watahama tena
Hapana, stendi zitakuwepo tatu. Mbezi, boko, na mbagala. Mbezi ndio imeanza.
 
Mbona unakosoa? Umehama chama? Mlijua watakaoumia ni wapinzani tu? Tutafika tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaa sawa mkuu mimi naona na wa mbagala watakuwa wanapandia mabasi huko huko hata kama bus litaanzia mbezi lazima lije mbagala liwapick abiria wake then waendeelee na safari ya mtwara
Mkuu, ikiwa hivyo itakuwa bora,

Na ndicho tunachoomba kiwe!
 
CHANGAMOTO YENU TUMEIPOKEA, ONDOENI SHAKA TUTALIFANYIA KAZI KWA SABABU MNA HOJA YA MSINGI

KWA KUWA STENDI NDIO MPYA NA HALMASHAURI IMEHAMISHWA INABIDI MAMBO YAWEKWE SAWA, UONGOZI MPYA, MIFUMO YA UENDESHAJI, UTARATIBU WA TAXI, BAJAJI, BODABODA, WAFANYABIASHARA WAKUBWA NA WADOGO N.K

MREJESHO MTAUPATA TUKIKAA KIKAO RASMI, NI JAMBO LINALOZUNGUMZIKA KABISA TUKIPATA MAELEKEZO KUTOKA KWA WAKUU WETU WA KAZI
 
Na yale mabasi yenye vituo vyao binafsi, vitaendelea kutoa huduma?
ngoja tuone kwa dsm itakuwaje maana ndio stand imeanza kazi sasa, ila kwa mwanza mabasi hata kama yana vituo binafsi ni lazima kuingia stand hakuna option ukiacha yale ya njia ya musoma ndio huanzia buzuruga
 
Huu ujinga upo Tanga,

Mnashushwa Kange, mnapandishwa daladala had mjini, Bus linaenda tupu mjini. Na vice versa

Halafu mizigo mtachukua mjini.

Mabasi ambayo yana ofisi mjini wanashusha kange kama hamna wa kange wanashusha wote ofisin kwao mjiniand kama tashrif
 
bora uanze kuisogeza bunju maana lazima mabasi yatapitia goba sijajua kwa kutokea masana mbezi beach au wazo kupitia madale
 
kwa sehemu kama mwanza ingawa bus zina ofisi zake ila lazima kuanzia safari nyegezi, wanachofanya abiria unatakiwa kuwahi mapema sana less than 5.30 am then mabasi yanaelekea stand, ukilichelewa ofisi zake lazima ulifuate nyegezi uzuri ofisi za mabasi zipo karibu na stand kwa dsm sijui itakuwaje maana kama basi zitalazimika kuondokea mbezi lazima kuna kuwahi sana ili kwenda na muda ingawa hapo kinachowindwa ni ushuru tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…