Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Hata ingekuwa ni sehemu ya mambo ya muungano hao DP World wanamiliki mali zilizo Congo na Rwanda hazipo Zanzibar hivyo hawana sababu ya kuwekeza kwenye bandari isiyo na maslahi kwao.Yani ulivyohusisha bandari ya Zanzibar tu nikajua ww ndio walewale Kila cku mnaambiwa Bandari haipo ktk masuala ya Muungano
Wakati mwingine akili zenu zinafanya kazi kiajabu ajabu, na bila kuona aibu kuhusu maswala ya kipuuzi.Siasa za kuhamisha magoli. Elewa kwanini mkataba kwanza ulipita bungeni ndio uje na hoja hizi za kujaribu kujipa umuhimu kwenye suala hili la bandari.
IGA iliyokwenda bungeni ni summary tu ya mikataba itakayosainiwa baadae. Prof Assad kaongelea suala hilo na video yake imo katika uzi huu.Kwa hiyo huo uliosainiwa kwanza halafu ndio ukaenda bungeni, sio wa kibiashara?
Unataka nisiyape heshima wakati kile ni chombo cha kutunga sheria kinachotuwakilisha mimi na wewe?. Akili mbovu ni za watu kama wewe unayekuja na mapovu yasiyo na msingi,Wakati mwingine akili zenu zinafanya kazi kiajabu ajabu, na bila kuona aibu kuhusu maswala ya kipuuzi.
Yale yaliyofanyika Bungeni nayo unayapa heshima katika jambo kama hili?
Hapana, mkuu 'Stevie', kwetu wengine Tanzania ni kubwa zaidi ya mambo mengine yoyote. Kama Profesa sasa hivi anakengeuka kwa sababu azijuazo mwenyewe, kamwe hatuwezi kuacha kumsema kwa kuwa tulimwonea huruma wakati ule.Prof Assad huyu huyu mliyemuonea huruma alipopigwa chini na hayati JPM leo hii mnamshutumu baada ya kusimamia weledi!. Kazi ipo.
Nitaivaa hiyo lebo ya "akili mbovu" kama beji ya heshima sana, kwa kutojitoa akili kichwani na kutambua upumbavu kama ule uliomo humo unaloliita Bunge.Unataka nisiyape heshima wakati kile ni chombo cha kutunga sheria kinachotuwakilisha mimi na wewe?. Akili mbovu ni za watu kama wewe unayekuja na mapovu yasiyo na msingi,
Kama Tanzania haiyataki hayataingia kwenye mikataba ya kibiashara itakayosainiwa, simple as that.Lakini yanayohusika Bungeni ni kuwa kama Tanzania haiyataki yatakayokuwemo humo ndani ya HGA, haina njia ya kujinasua na kuondoka bila ya ruhusa ya Dubai, au siyo? Hii ni akili sawasawa hii?
Achana na ujinga huu wa kudhani watu hawaelewi kinachofanyika hapa.Kama Tanzania haiyataki hayataingia kwenye mikataba ya kibiashara itakayosainiwa, simple as that.
Mnachoshindwa kuelewa au msichotaka kukielewa ni ukweli kwamba kufa kwa mikataba ya kibiashara ndio kufa kwa IGA iliyokwenda bungeni. Na huu sio mkataba wa kwanza kusainiwa na kutumika hapa nchini.
Kwa hiyoNimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali)
1. Kama mkataba una manufaa , kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri kweli uache kula na ndugu zako Zanzibar, uwape jirani?)
2. Wewe si mwanasheria (unaweza ukawa na uelewa kidogo wa sheria za uhasibu and the like). sasa authority ya kusema akina Shivji, Lugemeleza, Lisu, Mwabukusi, Madeleka na wengine hawana uelewa katika International treaties unaitoa wapi?
3. Mbona hujajibu hoja kwa hoja ambazo hao niliowataja hapo juu wanazilalamikia? Umetoa blanket answers kama za Joseph Kasheku Msukuma, Kitenge, Wasira na watu kama hao. Kama msomi you need to be specific when answering questions...kama ilivyokuwa ukiwataka wanafunzi wako wajibu
Kwa hiyo hapa Tanzania tumeshapigwa?Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali)
1. Kama mkataba una manufaa , kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri kweli uache kula na ndugu zako Zanzibar, uwape jirani?)
2. Wewe si mwanasheria (unaweza ukawa na uelewa kidogo wa sheria za uhasibu and the like). sasa authority ya kusema akina Shivji, Lugemeleza, Lisu, Mwabukusi, Madeleka na wengine hawana uelewa katika International treaties unaitoa wapi?
3. Mbona hujajibu hoja kwa hoja ambazo hao niliowataja hapo juu wanazilalamikia? Umetoa blanket answers kama za Joseph Kasheku Msukuma, Kitenge, Wasira na watu kama hao. Kama msomi you need to be specific when answering questions...kama ilivyokuwa ukiwataka wanafunzi wako wajibu
Ndio maana MAGUFULI ALIMFUKUZILIA MBALINimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali)
1. Kama mkataba una manufaa , kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri kweli uache kula na ndugu zako Zanzibar, uwape jirani?)
2. Wewe si mwanasheria (unaweza ukawa na uelewa kidogo wa sheria za uhasibu and the like). sasa authority ya kusema akina Shivji, Lugemeleza, Lisu, Mwabukusi, Madeleka na wengine hawana uelewa katika International treaties unaitoa wapi?
3. Mbona hujajibu hoja kwa hoja ambazo hao niliowataja hapo juu wanazilalamikia? Umetoa blanket answers kama za Joseph Kasheku Msukuma, Kitenge, Wasira na watu kama hao. Kama msomi you need to be specific when answering questions...kama ilivyokuwa ukiwataka wanafunzi wako wajibu
Bro DpW hana shida na bandari yetu sis ndio wenye shida na DpWHata ingekuwa ni sehemu ya mambo ya muungano hao DP World wanamiliki mali zilizo Congo na Rwanda hazipo Zanzibar hivyo hawana sababu ya kuwekeza kwenye bandari isiyo na maslahi kwao.
Pia kuna uwekezaji ulishafanyika katika bandari za huko Zanzibar tangu mwaka jana.
kitila mkumboKuna profesa mwingine alifyatua ufahamu wake akaongea hovyo hovyo akateuliwa siku chache baadaye
Mungeonyesha uungana kidogo kwa kutoa dosari za majibu yake kuliko kumattach kwa sababu ya kanzu yake.Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali)
1. Kama mkataba una manufaa , kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri kweli uache kula na ndugu zako Zanzibar, uwape jirani?)
2. Wewe si mwanasheria (unaweza ukawa na uelewa kidogo wa sheria za uhasibu and the like). sasa authority ya kusema akina Shivji, Lugemeleza, Lisu, Mwabukusi, Madeleka na wengine hawana uelewa katika International treaties unaitoa wapi?
3. Mbona hujajibu hoja kwa hoja ambazo hao niliowataja hapo juu wanazilalamikia? Umetoa blanket answers kama za Joseph Kasheku Msukuma, Kitenge, Wasira na watu kama hao. Kama msomi you need to be specific when answering questions...kama ilivyokuwa ukiwataka wanafunzi wako wajibu
Hili swala la Bandari za Zanzibar kutohusishwa linazidi kuongeza uzito zaidi juu ya nuio/kusudio la mradi mzima.Swali hili msingi wake ni hiyo exeption ya Bandari ya Zanzibar. Huwezi ukasema DP Wedi apewe bandari zote nchini za Bahari na Maziwa kasoro za Zanzibar, halafu utegemee watu waache tu wasijiulize
Wachumia tumbo TZ ni wengi sana,ila Professor kuwa mchumia tumbo ni aibu sana.Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali)
1. Kama mkataba una manufaa , kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri kweli uache kula na ndugu zako Zanzibar, uwape jirani?)
2. Wewe si mwanasheria (unaweza ukawa na uelewa kidogo wa sheria za uhasibu and the like). sasa authority ya kusema akina Shivji, Lugemeleza, Lisu, Mwabukusi, Madeleka na wengine hawana uelewa katika International treaties unaitoa wapi?
3. Mbona hujajibu hoja kwa hoja ambazo hao niliowataja hapo juu wanazilalamikia? Umetoa blanket answers kama za Joseph Kasheku Msukuma, Kitenge, Wasira na watu kama hao. Kama msomi you need to be specific when answering questions...kama ilivyokuwa ukiwataka wanafunzi wako wajibu
Kumbe ndio maana alifukuzwa u CAGNimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali)
1. Kama mkataba una manufaa , kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri kweli uache kula na ndugu zako Zanzibar, uwape jirani?)
2. Wewe si mwanasheria (unaweza ukawa na uelewa kidogo wa sheria za uhasibu and the like). sasa authority ya kusema akina Shivji, Lugemeleza, Lisu, Mwabukusi, Madeleka na wengine hawana uelewa katika International treaties unaitoa wapi?
3. Mbona hujajibu hoja kwa hoja ambazo hao niliowataja hapo juu wanazilalamikia? Umetoa blanket answers kama za Joseph Kasheku Msukuma, Kitenge, Wasira na watu kama hao. Kama msomi you need to be specific when answering questions...kama ilivyokuwa ukiwataka wanafunzi wako wajibu
Seriously, kweli wewe hulioni hili?Hivi hata wewe kwa akili ya kawaida tu kama mfanyabiashara, utashusha mega ships Zanzibar halafu walaji wako DRC? Seriously? Ili upate nini?