- Thread starter
- #41
Na zanzibar kuna mega trades zinafanyika hapo ambazo zina attract mega ships! Mwanza kuna mega ships zipi na mega trade zipi? Kigoma? Why include all hata vibandari vidogo, vina mega ships zipi na mega trade zipi? Kuna kitu hakiko sawa......Nadhani hujanielewa mkuu. Your opportunities may not be my opportunities. Wewe unaweza kuwa na viwanja viwili mapinga Bagamoyo na postal, na vyote unatafuta muwekezaji aviendeleze. Investors wanaweza kuvutiwa zaidi na kiwanja cha postal kuliko mapinga kutokana na manufaa ya kiuwekezaji atakayoyaona, japo wewe unataka I mapinga pia pendelezwe. Simply hivyo.
Hivi hata wewe kwa akili ya kawaida tu kama mfanyabiashara, utashusha mega ships Zanzibar halafu walaji wako DRC? Seriously? Ili upate nini?
Ndugu yangu kubali kuwa hapa kuna kitu hakiko sawa. Watanganyika hawatalikubali hili.....
1. Ungelikuwa wewe mtu anakuja kuwekeza kwenye shamba lako, utakubali mkataba kama huo? Tuanzie kwenye simple analogy kama hii. Mimi siwezi, mwenye akili timamu hawezi, uwekeze kwangu na husemi utanilipa nini kutoka na uwekezaji wako? Utakaa muda gani? (watu huwa wanakodi mashamba makubwa ya mamilioni / mamia/ ya hectares/acres kulima, watakubali mkataba kama ule?
2. Mkataba huo una sifa za kuwa mkataba? soma hii article ya JF
Tundu Lissu: Mkataba wa bandari ni suala nyeti sana
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amesema mkataba wa kuwakabidhi bandari baina ya Tanzania na Dubai ni swala nyeti (very seriously) ndiyo maana limepelekwa bungeni. Akiongea club house amesema kitendo cha mkataba huo kupelekwa bungeni kinaashiria unyeti wake na athari ya mkataba...