Hata Shivji kwny mjadala wa Serikali mbili au tatu alitukanwa sana kwa kutetea Serikali mbiliHeshima hujengwa kwa muda mrefu lakini kwenye kuiharibu, ni siku moja tu.
Read this section 11Yani ulivyohusisha bandari ya Zanzibar tu nikajua ww ndio walewale Kila cku mnaambiwa Bandari haipo ktk masuala ya Muungano
si za kweli, soma mapungufu ya mkataba kuna mtu kayaweka hapaLakini kabla ya kumpiga mawe,tujiulize hoja alizozitoa ni za kweli?
Kwa hii katiba ya hovyo ambayo huwezi kumshitaki hata DAS/DC, kwanini watu wasiibe?Bado ninatofautiana nawe kabisa mkuu 'Benjamin'.
Mimi ninaamini kabisa kwa dhati ya moyo wangu, kwamba haya matakataka tunayoyaona na kuyafanya kuwa ndiyo kawaida ya maisha yetu, inawezekana kabisa kuyapunguza sana (hata kama si kuyamaliza kabisa).
Ni swala la kupata viongozi sahihi tu wenye dhamira ya dhati kufanya hivyo.
Michina ni mijitu mizi sana ile. Nchi ile inao watu bilioni na zaidi..., huko kwao hawafanyi mambo kama unayoyaeleza hapo juu. Hawa watu wanapokuja hapa, wanatabia za kutaka kukwapuakwapua kila kitu, kama meno ya tembo, n.k..
Hata inafikia kwenye baadhi ya nchi, wachina wenyewe wamejiwekea polisi wao na jela zao, ili kuwadhibiti mijizi yao.
Hizo nchi za huko Mashariki ya mbali, tunakoambiwa uchumi wao unaenda vizuri, na kupata maendeleo ya haraka.
Usidhani hata mara moja kwamba hawana mijizi huko, hata kwenye serikali zao, lakini wamejiwekea taratibu za kuwabana hawa washenzi.
Hapa kwetu, CCM yenyewe ndiyo inayorutubisha yote hayo uliyoyaeleza kwenye andiko lako hapo juu.
Kwa hiyo, waTanzania wanajua kabisa wapi pa kuanzia, kuondoa uozo huo uliouelezea vizuri sana wewe hapo juu.
Bila kuwashughulikia CCM, usitegemee mabadiliko yoyote.
Swali hili kuhusu bandari ya Zanzibar limeshajibiwa mara nyingi tu hapa tena na watu tofauti, lakini bado linarudi tu waulizaji wakihisi wanauliza swali la pointi saaaaana kumbe pumba tu.Kwa hiyo kuendeleza bandari ni kwa manufaa ya mwekezaji tu? Je, baada ya 'ukomo' wa mkataba, Tanzania isingependa kubaki kunufaika na miundombinu itakayoachwa na mwekezaji? Kwa nini utaje faida anazoangalia mwekezaji tu, na sio pia za nchi inayohost? Kwani Tanzania haitaki kuachiwa bandari ya Zanzibar ikiwa nzuri ya kisasa hata kama ilikuwa haimlipi mwekezaji?
Bandari haihuzwi ila JMT inataka kuruhusu uwekezaji kutoka Dubai wa DP World kwa makubaliano, ambayo kwa mtazamo wa Prof Shivji, unampa mwekezaji haki zsidi na JMT wajibuJe, Profesa Assad kayaona haya na kuyatolea majibu anayoyajua yeye kwa uelewa wake wa kitaalam?
Tuache kuzungukazunguka na mambo mengine ya pambani, kama hilo la "Bandari kuuzwa" wanalopenda sasana kulitolea ufafanuzi.
Haya hapa ndiyo yanayohitaji ufafanuzi wa kina kabisa kwa utaalam wao.
SOMA NAMBA 11Sasa bandari ni suala la muungano? Hivi nyie watu mnajua mnachokitetea au mnajiropokea tu?
Magufuli ndio maana alimfukuza kazi,alianza kutumika na mafisadi kumchafua Magufuli.Sasahivi tunaanza kuona rangi yake harisi na waliokuwa wakimtumia,mwezi ujao utasikia kapewa ukurugezi wa Bodi.Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali)
1. Kama mkataba una manufaa , kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri kweli uache kula na ndugu zako Zanzibar, uwape jirani?)
2. Wewe si mwanasheria (unaweza ukawa na uelewa kidogo wa sheria za uhasibu and the like). sasa authority ya kusema akina Shivji, Lugemeleza, Lisu, Mwabukusi, Madeleka na wengine hawana uelewa katika International treaties unaitoa wapi?
3. Mbona hujajibu hoja kwa hoja ambazo hao niliowataja hapo juu wanazilalamikia? Umetoa blanket answers kama za Joseph Kasheku Msukuma, Kitenge, Wasira na watu kama hao. Kama msomi you need to be specific when answering questions...kama ilivyokuwa ukiwataka wanafunzi wako wajibu
Jitu la hovyo kabisaMagufuli ndio maana alimfukuza kazi,alianza kutumika na mafisadi kumchafua Magufuli.Sasahivi tunaanza kuona rangi yake harisi na waliokuwa wakimtumia,mwezi ujao utasikia kapewa ukurugezi wa Bodi.
soma kifungu cha 11, it seems ewe hujui kitu dunianiYan mpaka wanatia uvivu kusoma nyuzi zao ikiwa kwenye point namba Moja ameonyesha uzuzu Kuna haja gani yakujadili nyingine
HUYU TUMEMUWEKA TAYARI KWENYE PROFESSORIAL RUBBISH CLUBNimeshangaa sana jamaa kakaa chini haya ndio maswali kweli anamuuliza professor?
Eti ngekewa!Achana na mambo ya ngekewa, watu kama hao ni ngekewa tu!
Niko na muislam mwenzie hapa mtu wa Kigoma amesema prof. kapuyanga. Kiufupi amemkataa.Uislam zaidi ya taaluma
Kwa kweli. Nilikua namheshimu na kumkubali mno. Aisee nimeamini usiwaamini wasomi watanzania. Dk yoyote wanabadilika. Huyu ni mahaba ya imani. Ni ufala mkubwa kumtetea mtu kwa sababu mko na imani au kabila au nasaba moja kwa mambo ya msingi kama haya.HUYU TUMEMUWEKA TAYARI KWENYE PROFESSORIAL RUBBISH CLUB
SAMIA ANAMZIDI NANI IQEti ngekewa!
Kwa hiyo nyie mna mikosi hapa duniani!?