Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

Heshima hujengwa kwa muda mrefu lakini kwenye kuiharibu, ni siku moja tu.
Hata Shivji kwny mjadala wa Serikali mbili au tatu alitukanwa sana kwa kutetea Serikali mbili

Msomi huwa haogopi kutoa mawazo yake kwa kuwa atashambuliwa au Wengi watamuona kakosea
 
Lakini kabla ya kumpiga mawe,tujiulize hoja alizozitoa ni za kweli?
 
Yani ulivyohusisha bandari ya Zanzibar tu nikajua ww ndio walewale Kila cku mnaambiwa Bandari haipo ktk masuala ya Muungano
Read this section 11
11. Bandari, Mambo yanayohusika na Usafiri wa Anga, Posta na Simu
Usafiri wa majini umeboreshwa kwa kuwaruhusu watu binafsi kutumia vyombo vya
kisasa kusafirisha wananchi wa pande zote mbili kati ya Bandari za Dar es salaam,
Tanga, Zanzibar na Pemba. Hali kadhalika hali ya mawasiliano ya simu imeendelea
kukua kwa kasi kubwa katika pande zote mbili za Muungano. Mfano matumizi ya simu
5
 

Attachments

Bado ninatofautiana nawe kabisa mkuu 'Benjamin'.
Mimi ninaamini kabisa kwa dhati ya moyo wangu, kwamba haya matakataka tunayoyaona na kuyafanya kuwa ndiyo kawaida ya maisha yetu, inawezekana kabisa kuyapunguza sana (hata kama si kuyamaliza kabisa).

Ni swala la kupata viongozi sahihi tu wenye dhamira ya dhati kufanya hivyo.

Michina ni mijitu mizi sana ile. Nchi ile inao watu bilioni na zaidi..., huko kwao hawafanyi mambo kama unayoyaeleza hapo juu. Hawa watu wanapokuja hapa, wanatabia za kutaka kukwapuakwapua kila kitu, kama meno ya tembo, n.k..
Hata inafikia kwenye baadhi ya nchi, wachina wenyewe wamejiwekea polisi wao na jela zao, ili kuwadhibiti mijizi yao.

Hizo nchi za huko Mashariki ya mbali, tunakoambiwa uchumi wao unaenda vizuri, na kupata maendeleo ya haraka.
Usidhani hata mara moja kwamba hawana mijizi huko, hata kwenye serikali zao, lakini wamejiwekea taratibu za kuwabana hawa washenzi.
Hapa kwetu, CCM yenyewe ndiyo inayorutubisha yote hayo uliyoyaeleza kwenye andiko lako hapo juu.
Kwa hiyo, waTanzania wanajua kabisa wapi pa kuanzia, kuondoa uozo huo uliouelezea vizuri sana wewe hapo juu.

Bila kuwashughulikia CCM, usitegemee mabadiliko yoyote.
Kwa hii katiba ya hovyo ambayo huwezi kumshitaki hata DAS/DC, kwanini watu wasiibe?
 
Kwa hiyo kuendeleza bandari ni kwa manufaa ya mwekezaji tu? Je, baada ya 'ukomo' wa mkataba, Tanzania isingependa kubaki kunufaika na miundombinu itakayoachwa na mwekezaji? Kwa nini utaje faida anazoangalia mwekezaji tu, na sio pia za nchi inayohost? Kwani Tanzania haitaki kuachiwa bandari ya Zanzibar ikiwa nzuri ya kisasa hata kama ilikuwa haimlipi mwekezaji?
Swali hili kuhusu bandari ya Zanzibar limeshajibiwa mara nyingi tu hapa tena na watu tofauti, lakini bado linarudi tu waulizaji wakihisi wanauliza swali la pointi saaaaana kumbe pumba tu.
Ni hivi bandari ya Zanzibar ilishapata muekezaji kutoka Ufaransa kabla ya DPW, hivyo isingekua rahisi kuvunja mkataba.
 
Je, Profesa Assad kayaona haya na kuyatolea majibu anayoyajua yeye kwa uelewa wake wa kitaalam?

Tuache kuzungukazunguka na mambo mengine ya pambani, kama hilo la "Bandari kuuzwa" wanalopenda sasana kulitolea ufafanuzi.

Haya hapa ndiyo yanayohitaji ufafanuzi wa kina kabisa kwa utaalam wao.
Bandari haihuzwi ila JMT inataka kuruhusu uwekezaji kutoka Dubai wa DP World kwa makubaliano, ambayo kwa mtazamo wa Prof Shivji, unampa mwekezaji haki zsidi na JMT wajibu
 
Sasa bandari ni suala la muungano? Hivi nyie watu mnajua mnachokitetea au mnajiropokea tu?
SOMA NAMBA 11
11. Bandari, Mambo yanayohusika na Usafiri wa Anga, Posta na Simu
Usafiri wa majini umeboreshwa kwa kuwaruhusu watu binafsi kutumia vyombo vya
kisasa kusafirisha wananchi wa pande zote mbili kati ya Bandari za Dar es salaam,
Tanga, Zanzibar na Pemba. Hali kadhalika hali ya mawasiliano ya simu imeendelea
kukua kwa kasi kubwa katika pande zote mbili za Muungano. Mfano matumizi ya simu
5
 

Attachments

Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali)

1. Kama mkataba una manufaa , kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri kweli uache kula na ndugu zako Zanzibar, uwape jirani?)

2. Wewe si mwanasheria (unaweza ukawa na uelewa kidogo wa sheria za uhasibu and the like). sasa authority ya kusema akina Shivji, Lugemeleza, Lisu, Mwabukusi, Madeleka na wengine hawana uelewa katika International treaties unaitoa wapi?

3. Mbona hujajibu hoja kwa hoja ambazo hao niliowataja hapo juu wanazilalamikia? Umetoa blanket answers kama za Joseph Kasheku Msukuma, Kitenge, Wasira na watu kama hao. Kama msomi you need to be specific when answering questions...kama ilivyokuwa ukiwataka wanafunzi wako wajibu



Magufuli ndio maana alimfukuza kazi,alianza kutumika na mafisadi kumchafua Magufuli.Sasahivi tunaanza kuona rangi yake harisi na waliokuwa wakimtumia,mwezi ujao utasikia kapewa ukurugezi wa Bodi.
 
Magufuli ndio maana alimfukuza kazi,alianza kutumika na mafisadi kumchafua Magufuli.Sasahivi tunaanza kuona rangi yake harisi na waliokuwa wakimtumia,mwezi ujao utasikia kapewa ukurugezi wa Bodi.
Jitu la hovyo kabisa
 
Najaribu kuwaza hii kitu ingetoka awamu Ile huyu mchunia puto ambavyo angelala mbele na vifungu sasa hapa anaongozwa na mlengo fulani
 

DP World wins latest judgement in Hong Kong Court over Djibouti concession​


Dubai, UAE,
20 September 2022


DP World has won the latest in a string of court rulings, as it defends its rights as shareholder and concessionaire in Djibouti’s Doraleh Container Terminal.

The Court of Appeal of Hong Kong has dismissed the latest request by China Merchants Port Holdings seeking permission to file a second appeal before the Court of Final Appeal, against its previous decision that DP World’s suit against the company should be heard before Hong Kong Courts, and not the courts of Djibouti.

DP World and joint venture company Doraleh Container Terminal are bringing multi-billion dollar claims against China Merchants alleging that it induced the government of Djibouti to expel DP World from the country and hand over the Doraleh terminal to China Merchants. China Merchants investments in other ports and free zone projects in Djibouti, in breach of DP World’s exclusivity rights, will also be examined.

China Merchants surprisingly argued that the case should be heard by the Djibouti courts, despite Hong Kong being its home jurisdiction. The High Court of Hong Kong agreed with DP World’s arguments that the case should proceed in Hong Kong and ordered China Merchants to pay its legal costs. The Court of Appeal dismissed an appeal against that decision, and has now refused to grant China Merchants permission to file a second appeal before the Court of Final Appeal.

The Hong Kong court ruling follows a ruling in January 2022, by the London Court of International Arbitration (LCIA) against the Republic of Djibouti, awarding interim damages of US$ 200 million for damages caused over the period between for the period 23 February 2018 to 31 December 2020. That was the eighth decision by an international court or tribunal in favour of DP World in its ongoing dispute with the Republic of Djibouti, and total damages due to DP World now amount to US$ 686.5 million, plus accruing interest, while the Concession itself remains legally in force.

The Doraleh Container Terminal is the largest employer and biggest source of revenue in Djibouti and has operated at a profit every year since it opened.

DP World is a leading provider of worldwide smart end-to-end supply chain logistics, enabling the flow of trade across the globe. With a portfolio of 295 businesses in 78 countries across six continents, with a significant presence in both high-growth and mature markets, the company enjoys strong relationships with governments around the world, working in partnership to strengthen economies through investment in infra-structure and the implementation of smart trade solutions.
 
HUYU TUMEMUWEKA TAYARI KWENYE PROFESSORIAL RUBBISH CLUB
Kwa kweli. Nilikua namheshimu na kumkubali mno. Aisee nimeamini usiwaamini wasomi watanzania. Dk yoyote wanabadilika. Huyu ni mahaba ya imani. Ni ufala mkubwa kumtetea mtu kwa sababu mko na imani au kabila au nasaba moja kwa mambo ya msingi kama haya.
 
Back
Top Bottom