Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

Huyu mzee alikuwa mwadilifu enzi za Magufuli, awamu hii naona kakosa ajira kaanza kulegea...
 
search humu utaopata, upo sana JF
Hakuna huo mkataba HGA humu. Uliosainiwa/unaojadiliwa na uliopo humu ni wa IGA. HGA ni mkataba wa pili unaojadiliwa na utasainiwa baada ya kuidhinishwa kwa IGA.

Your browser is not able to display this video.
 
Bandari haihuzwi ila JMT inataka kuruhusu uwekezaji kutoka Dubai wa DP World kwa makubaliano, ambayo kwa mtazamo wa Prof Shivji, unampa mwekezaji haki zsidi na JMT wajibu
Haya maelezo yako hapa ni ya nini tena.
Ni nani anakomalia kuuzwa Bandari, kama huo siyo msemo tu wa mitaani kuashiria masharti mabovu ndani ya mkataba huo?
Kama mkataba hauna kikomo, na una masharti hasi kwa Tanzania, kama hayo uliyoambatanisha wewe hapo; kama

Sasa sijui wewe unaelewa kitu gani hapo?
Hayo aliyosema Prof. Shivji, yanakupa tumaini wewe kuhusu manufaa ya mkataba huo?huko siyo sawa na kuuzwa ni kitu gani?
Tena ni bora ya kuuza, maanake unapata fedha unayojua utapewa, masharti ya mkataba huu ni sawa na kunyang'anywa!
 
Hakuna huo mkataba HGA humu. Uliosainiwa/unaojadiliwa na uliopo humu ni wa IGA. HGA ni mkataba wa pili unaojadiliwa na utasainiwa baada ya kuidhinishwa kwa IGA.

View attachment 2712938
Wewe kwa fikra zako unadhani hiyo mikataba ya HGA itakuwa nafuu zaidi ya hii IGA?

Kuwa na IGA kabla ya hizo HGA maana yake ni nini? Siyo kwamba mikataba hiyo ya HGA itaongozwa na makubaliano/mkataba wa IGA?

Na zaidi ya yote, hizo HGAs hutaruhusiwa kuziona, ni siri. Sasa hapo utatueleza kitu gani kuhusu hizo HGAs unazozitegemea wewe?
 
Hoja mwanasheria wetu wa ujerumani anatuambia IGA ndio HGA na tumeingia chocho kuaminishwa hivyo. Mikataba yenye usiri ni hatua ya tatu mikataba ya TPA na Mukodishwaji ambayo wambunge wana access nayo wakiihitaji.
 
Na hapa unadhani mjuaji ni wewe, au siyo?
Kama maswala ya Bandari ni ya Muungano, uwekezaji huo wa Ufaransa ulishughulikiwa na serikali ya Muungano?
Tena hata hivyo unasema uongo mtupu kuhusu huyo mfaransa kuhusika hapo.
 
Nacheka utadhani yanafurahisha. Inasikitisha kuona Professor naye anashindwa kujibu hoja. Njaa hatari sana
Kuna profesa mwingine alifyatua ufahamu wake akaongea hovyo hovyo akateuliwa siku chache baadaye
 
Tatizo uislamu unawasumbua kwenye mkataba huu sijaona mwislamu anaupinga there something hidden
 
Acha kutembelea nyota ya member mwenzako, jitegemee. Yaani mwekezaji asilazimishwe kwa jambo la maslahi la taifa? Kwa hiyo asilazimishwe kuajiri baadhi ya wafanyakazi wazawa kwa kazi wanazoziweza, hata akiamua kuja na vibarua waarabu iwe sawa tu?
Hayo tunatakiwa tuyaseme kwenye hii mikataba ya kibiashara, huko bungeni hayahusiki.
 
Hoja mwanasheria wetu wa ujerumani anatuambia IGA ndio HGA na tumeingia chocho kuaminishwa hivyo. Mikataba yenye usiri ni hatua ya tatu mikataba ya TPA na Mukodishwaji ambayo wambunge wana access nayo wakiihitaji.
Wewe unamjua huyo "mwanasheria wenu wa Ujerumani", mimi simjui, kwa hiyo usinihusishe na hilo.
Hizo hatua 4 zilizoonyeshwa hapo kama kuelimisha ni upuuzi mtupu.
Elezeni, IGA inahusika vipi na hizo IGA na hizo hatua za upotoshaji mnazofanya hapo?

Kama mnaona IGA haina maana kwenu, iondoeni, tuendelee na hizo HGA, tupigiwe huko huko.
 
Prof Assad huyu huyu mliyemuonea huruma alipopigwa chini na hayati JPM leo hii mnamshutumu baada ya kusimamia weledi!. Kazi ipo.
 
Siasa za kuhamisha magoli. Elewa kwanini mkataba kwanza ulipita bungeni ndio uje na hoja hizi za kujaribu kujipa umuhimu kwenye suala hili la bandari.
 
Hayo tunatakiwa tuyaseme kwenye hii mikataba ya kibiashara, huko bungeni hayahusiki.
Lakini yanayohusika Bungeni ni kuwa kama Tanzania haiyataki yatakayokuwemo humo ndani ya HGA, haina njia ya kujinasua na kuondoka bila ya ruhusa ya Dubai, au siyo? Hii ni akili sawasawa hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…