Maswali magumu kwa rais Samia kuhusu uchaguzi ujao

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Mheshimiwa Rais Daktari, mbemba maono, kipenzi cha Watanzania Samia Suluhu Hassan,

Naomba unijibu maswali haya kuhusiana na msimamo wako juu ya uchaguzi ujajo uliosema utakuwa wa amani.

Amani vipi bila maridhiano ya namna ya kuufanya?

Amani vipi wakati polisi wanatumika vibaya na kinyume cha sheria?

Amani vipi wakati watumishi wa serikali wanatumika visivyo?

Amani vipi wakati wanachama wa CCM wenye madaraka ya kiuteuzi wanapendelea wazi wazi chama chao?

Amani vipi wakati hakuna uwanja sawa wa kufanya kampeni?

Amani vipi wakati wapinzani wa kweli wamepandikiziwa kesi za uhaini na kuswekwa ndani kinyume cha sheria?
Maswali ni mengi kuliko majibu.

Wanaomshauri huyu mama wanampotosha na wanaweza kuingiza taifa pakanga bila sababu.
Busara itumike badala ya mihemko na ulafi wa madaraka.
Tunataka uchaguzi na si uchakachuaji.
 
aambiwe tu ukweli tumeshamchoka👿
 
Ana uheshimiwa gani huyo hata umuite Muheshimiwa?

Mbona Kiswahili mnakipindisha kiasi hicho,hivi mgeni anayejifunza lugha yetu ukimwita huyu mwanamke muheshimiwa mbele yake si atajua tafsiri yake ni mtu legelege,asiyejua anafanya nini wakati gani na madhumuni gani?

Tuiheshimu lugha yetu
 
Mheshimiwa Rais Daktari, mbemba maono, kipenzi cha Watanzania Samia Suluhu Hassan,

Naomba unijibu maswali haya kuhusiana na msimamo wako juu ya uchaguzi ujajo uliosema utakuwa wa amani.

Amani vipi bila maridhiano ya namna ya kuufanya?

Amani vipi wakati polisi wanatumika vibaya na kinyume cha sheria?

Amani vipi wakati watumishi wa serikali wanatumika visivyo?

Amani vipi wakati wanachama wa CCM wenye madaraka ya kiuteuzi wanapendelea wazi wazi chama chao?

Amani vipi wakati hakuna uwanja sawa wa kufanya kampeni?

Amani vipi wakati wapinzani wa kweli wamepandikiziwa kesi za uhaini na kuswekwa ndani kinyume cha sheria?
Maswali ni mengi kuliko majibu.

Wanaomshauri huyu mama wanampotosha na wanaweza kuingiza taifa pakanga bila sababu.
Busara itumike badala ya mihemko na ulafi wa madaraka.
Tunataka uchaguzi na si uchakachuaji.
Mzanzibari ana uchu wa madaraka
 
Niko pale nasubiria majibu
 
Back
Top Bottom