Shida yenu nanyi zamu yenu mnatuleteaga akili ndogo sana...kwani nyie hamnaga big brain huko?!.Tatizo ni dini yake siyo suala la uongozi
Hata jk naye alikuwaga kilazaa tu.
Shida yenu nanyi zamu yenu mnatuleteaga akili ndogo sana...kwani nyie hamnaga big brain huko?!.Tatizo ni dini yake siyo suala la uongozi
Asitoboe wakati ana nyenzo zote za kutoboa au kutobolea.Labda Mungu tu aingilieHuyu mama hatoboi, hafiki January
4R sio kisingizio Cha kuvunja sheria mtashughulikiwa kweli kweliMheshimiwa Rais Daktari, mbemba maono, kipenzi cha Watanzania Samia Suluhu Hassan,
Naomba unijibu maswali haya kuhusiana na msimamo wako juu ya uchaguzi ujajo uliosema utakuwa wa amani.
Amani vipi bila maridhiano ya namna ya kuufanya?
Amani vipi wakati polisi wanatumika vibaya na kinyume cha sheria?
Amani vipi wakati watumishi wa serikali wanatumika visivyo?
Amani vipi wakati wanachama wa CCM wenye madaraka ya kiuteuzi wanapendelea wazi wazi chama chao?
Amani vipi wakati hakuna uwanja sawa wa kufanya kampeni?
Amani vipi wakati wapinzani wa kweli wamepandikiziwa kesi za uhaini na kuswekwa ndani kinyume cha sheria?
Maswali ni mengi kuliko majibu.
Wanaomshauri huyu mama wanampotosha na wanaweza kuingiza taifa pakanga bila sababu.
Busara itumike badala ya mihemko na ulafi wa madaraka.
Tunataka uchaguzi na si uchakachuaji.
Amenogewa madarakaMheshimiwa Rais Daktari, mbemba maono, kipenzi cha Watanzania Samia Suluhu Hassan,
Naomba unijibu maswali haya kuhusiana na msimamo wako juu ya uchaguzi ujajo uliosema utakuwa wa amani.
Amani vipi bila maridhiano ya namna ya kuufanya?
Amani vipi wakati polisi wanatumika vibaya na kinyume cha sheria?
Amani vipi wakati watumishi wa serikali wanatumika visivyo?
Amani vipi wakati wanachama wa CCM wenye madaraka ya kiuteuzi wanapendelea wazi wazi chama chao?
Amani vipi wakati hakuna uwanja sawa wa kufanya kampeni?
Amani vipi wakati wapinzani wa kweli wamepandikiziwa kesi za uhaini na kuswekwa ndani kinyume cha sheria?
Maswali ni mengi kuliko majibu.
Wanaomshauri huyu mama wanampotosha na wanaweza kuingiza taifa pakanga bila sababu.
Busara itumike badala ya mihemko na ulafi wa madaraka.
Tunataka uchaguzi na si uchakachuaji.
Mitano tena Kwa mama
Amenogewa madaraka
Amenogewa wizi
Amenogewa damu
Anazijua siku zake zilizobaki?Labda wale waliosema watampa majini yampigie kura, wamempa majini anatembea nayo, na chakula chao ni damu za Watanzania. Mpaka kufika Oktoba atakuwa amemwaga damu za watanzania zisizo na hesabu. Taifa linatawaliwa na maharamia wauaji.