Maswali magumu kwa rais Samia kuhusu uchaguzi ujao

4R sio kisingizio Cha kuvunja sheria mtashughulikiwa kweli kweli
 
Amenogewa madaraka
Amenogewa wizi
Amenogewa damu
 
Amenogewa madaraka
Amenogewa wizi
Amenogewa damu

Labda wale waliosema watampa majini yampigie kura, wamempa majini anatembea nayo, na chakula chao ni damu za Watanzania. Mpaka kufika Oktoba atakuwa amemwaga damu za watanzania zisizo na hesabu. Taifa linatawaliwa na maharamia wauaji.
 
Anazijua siku zake zilizobaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…