Wameanza lini kuuza vitu rapidshare? Kila siku vitu vyao ni bure hio ni file sharing site kama mediafire au jumbofile
I think anaongelea kudownload bila kusubiria! Coz rapidshare na 4shared if huja sign in huwa znazngua kudownload! Some time utaskia wait 4 several seconds ndo uanze kudownload
Ukiwa free member wa rapidshare huwezi kuona file lolote la kudownload (me nilishajaribu na sikuona kitu).
So ukitumia njia hiyo hapo juu inakupeleka moja kwa moja kwenye download page yao.
NB:Hii ni kwa wale wasiofahamu.... coz nimeona watu wengi wakitafuta programs,games au movies kupitia google na wanaishia kuletewa demo,trial au zile za kulipia fee.
i know this website... personally i dont recommend.
wewe unarecomend ipi mkuu, kwa nini?