Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

ole na exam brther...nashkuru kwa kutufumbua na kutupatia vitu vizur tena free of charge..kuna shida moja nahis sijaelewa,,ni kwamba tayar nimeshapata set up ya U TORRENT na BIT TORRENT na tayar inakuwa imekwishafunguka moja kati ya hizi prograM TATIZO LANGU SASA mfano nahitaji ku download brother,nashindwa kuweka kile kitu ambacho nakihititaji,,,,,,,, mfano muvie na vitu vingine​

pia sielewi maana ya LINK na Jinsi ya ku copy LINK na kudownload ili kitoke kitu like muvie plz plz NISAIDIE THIRD EYE........ khalifab@rocketmail.com
 
Wadau kama umewahi kushindwa kudownload kutoka rapidshare kwa kukosa premium account,sasa waweza kufanya hivyo bila hata registration.

Kuna weakness ambayo ipo katika website ya rapidshare ambayo kipitia google unadownload for free kutoka katika one of the largest file hosting website.

Njia yenyewe ni hii:

(ukiwa tayari unafahamu jina la softaware, movie au document file unalotaka) Andika jina la kitu unachotaka kudownload kutoka rapidshare (kwenye google search box) uongeze na moja kati ya hizi sentensi; 'rapidshare download', 'rapidshare download links' au 'rapidshare links' kisha usearch.

Katika results zako, utaletewa page zenye link za rapidshare,fungua hizo page kisha angalia link iliyo kama hii
http://rapidshare.com/files/4033768...nu.Maker.Pro.v2.0.1.11.WinAll.Cracked-CRD.rar
Copy link yako na upaste kwenye address box ya browser yako.

Ukiifungua itakupeleka katika page ya rapidshare nautaona options tatu;

1. Buy
2. Save to computer
3.Save.
Chagua option ya pili na utapata file lako kiulaini kabisa.
 
Wameanza lini kuuza vitu rapidshare? Kila siku vitu vyao ni bure hio ni file sharing site kama mediafire au jumbofile
 
Wameanza lini kuuza vitu rapidshare? Kila siku vitu vyao ni bure hio ni file sharing site kama mediafire au jumbofile

I think anaongelea kudownload bila kusubiria! Coz rapidshare na 4shared if huja sign in huwa znazngua kudownload! Some time utaskia wait 4 several seconds ndo uanze kudownload.
 
I think anaongelea kudownload bila kusubiria! Coz rapidshare na 4shared if huja sign in huwa znazngua kudownload! Some time utaskia wait 4 several seconds ndo uanze kudownload

Rapid share haina waiting
 
Ukiwa free member wa rapidshare huwezi kuona file lolote la kudownload (me nilishajaribu na sikuona kitu).
So ukitumia njia hiyo hapo juu inakupeleka moja kwa moja kwenye download page yao.

NB:Hii ni kwa wale wasiofahamu. Coz nimeona watu wengi wakitafuta programs, games au movies kupitia google na wanaishia kuletewa demo, trial au zile za kulipia fee.
 
Ukiwa free member wa rapidshare huwezi kuona file lolote la kudownload (me nilishajaribu na sikuona kitu).
So ukitumia njia hiyo hapo juu inakupeleka moja kwa moja kwenye download page yao.
NB:Hii ni kwa wale wasiofahamu.... coz nimeona watu wengi wakitafuta programs,games au movies kupitia google na wanaishia kuletewa demo,trial au zile za kulipia fee.

Mbona mi nadownloadia daily useme hawana search engine hao rapidshare.

Yani inafanya kazi kihivi mimi ni webmaster nina website yangu ya movie na upload movie then napewa unique link then ile link naeka kwenye website yangu. Mtu akija kuclick anakua directed kwenye sehemu ya kudownload rapidshare.

Watu wengi hawaipend rapidshare 4shared na file sharing za zamani sababu zinalimit speed, unakuta una internet ya ukweli but speed ya kinyonga, mediafire nao wana speed ya ukweli ila wanatoa limit ya file mwisho mb200.

Kutokana na hayo ndo mana unaona kunaanzishwa thread nyingi humu, na thread zetu tunaeka single link zenye speed kubwa ambazo ni adimu kuzipata kwenye internet.
 
Ndio maana napotaka kudownload files kubwa natumia torrent lakini naconvert na kudownload kwa IDM bila speed limit.
 
Habari zenu wana JF. Mi naomba kujua jinsi ya kuweza kudownload moveyaani niweze kupata link na jinsi ya kufanya
 
simply hii idea naikuza tu maana kuna kipindi e2themiza aliupoad movie ya kanumba na wa2 tulipenda sana alichokifanya basi leo hii ningependa nasisi tuige mfano wa kaka yetu e2themiza,Guys

hii ishu simply ni kwamba it begins wuth us j.forum members ili tufanikiwe kuenjoy movie za bongo za kutosha tufanye yafuatayo

1. ingia 2shared.com

2.sign up kwa kutumia email yoyote

3.weka bando ya kutosha au simply contact paje mwenye software ya free internet yani bure kabisaa

4.kama una total video converter basi convert iwe mfumo wa mkv mana viseo itakuwa na size ndogo, high quality

5. upload video yoyote uliyonayo,

me kama volunteer naupload movie saiz na ntawapa link, kumbueni it will always begin with you thanks
 
Back
Top Bottom