Hichi ni kiherehere!
torrent ni jinsi ya kudownload files kwa kutumia kitu kinaitwa P2P (peer to peer). P2P ni kuumanisha unacopy files kutoka kwenye computer za wenzako, yaani ziko saved kwa computer za washikaji (peers) tofauti na direct downloads ambazo zinatumia servers.
first of all you need to sign in..
pili.. in my thinking its not friendly user interface.. (thats my thinking)
third.. there are other websites which are better like
1.High Quality Latest Movies, Watch online or Download from resume supported links
2. Mediafire Movies!! High quality, Small size, Mediafire links
check them out...
wiki ya pili sasa antvirus ya computer yangu haionyeshi interface yaani kila nikijaribu ku update inashindikana na inanipa ujumbe mfc110.u dll files wanted. na kingine idm yangu iki download movie haionyeshi mpaka ni convet na haina sauti naomba msaada please
asante mkuu. ninahitaji sana ku-download movie for free maana ni hobby ku-watch movie.
Nimejaribu ku-unistall imegoma inaniletea sms ya debug progam nikiruhurusu inafungua progam ya visual basic.Ebu jaribu kuremove and install tena hyo antivirus then update tuone n kuhusu movie cjui unadownload wap, ebu jarbu hzo steps nlizoonesha hapo juu. Ukikwama nichek
Bro Mungu na akuzidishie umri ka N. mandela,jpil njema<br />By josaya<br />
wiki ya pili sasa antvirus ya computer yangu haionyeshi interface yaani kila nikijaribu ku update inashindikana na inanipa ujumbe mfc110.u dll files wanted. na kingine idm yangu iki download movie haionyeshi mpaka ni convet na haina sauti naomba msaada please
<br />
Ebu jaribu kuremove and install tena hyo antivirus then update tuone n kuhusu movie cjui unadownload wap,, ebu jarbu hzo steps nlizoonesha hapo juu.. Ukikwama nichek
nimejaribu ku unistall imegoma inaniletea sms ya debug progam nikiruhurusu inafungua progam ya visual basic
au kwa njia nyingine(baada ya step zilizowekwa hapo juu) fungua google then andika jina la movie afu malizia na torrent mfano movie yetu iitwayo "lordville" kwenye google utaandika "lordville torrent" hii njia itakuletea links mbali mbali ambazo utaweza pata hii movie!
NB: Kabla huja download chochote angalia hiki kitu "leechers" "na "seeders" kama leechers na seeders wakiwa wengi hii movie ita download kwa spidi nzuri ukilinganisha na ile yenye leechers na seeders wachache!!!!
au kwa njia nyingine(baada ya step zilizowekwa hapo juu) fungua google then andika jina la movie afu malizia na torrent mfano movie yetu iitwayo "lordville" kwenye google utaandika "lordville torrent" hii njia itakuletea links mbali mbali ambazo utaweza pata hii movie!!!
NB: Kabla huja download chochote angalia hiki kitu "leechers" "na "seeders" kama leechers na seeders wakiwa wengi hii movie ita download kwa spidi nzuri ukilinganisha na ile yenye leechers na seeders wachache!!!!
[url=http://bitcq.com/]BitCQ - light and possibly the fastest search engine[/url]
[URL]https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/512043-update-how-to-convert-torrent-to-direct-http-link.html[/URL]