Maswali ya kijinga wanayouliza wanawake wakitongozwa

Hayo Ndio maswali ya msingi yanatakiwa kuulizwa we unaonesha upo matured
 
Alafu utakuta mwingine ana meno 32 tena butu. Ile mpo katikati ya mechi ushapiga vyako viwili unatafuta cha tatu anaanza kujiroposha tuu "et hivi baby utanioa au unanichezea tuu"

Yani na kasirikaga mimi natamani ni mnase hadi vibao vya mashavu ila najikuta naishia kumpiga tuu vya makalio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…