Kabisa kabisa.Watu wanapenda kuulizwa vile vitu wanavyotaka. Nawashauri tu kabla ya maongezi basi wajiwekee perimeters za mazungumzo yao. La sivyo akina Mama D na the like waendelee kuwa wavumilivu.
Hyo ya kabila inanichefua kwelikweli eti mbona hufananinii na Hilo kabila lako kuanzia sura, sasa walitaka nifaneneje jamani, aaargh Kuna mwaswali yanakera na bado na kuolewa wewe umeolewa shukuru Mungu.Umenichekesha sana cariha Hivi wewe ni kabila gani?[emoji3]
Mama D unatufunza ndivyo sivyo aiseee. Refer masomo yako yaleee bombaNdio, wewe ulitakaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni ujinga mtupu tena swala la ndoa unakuta ni wanaume wanashupalia sasa wewe ka umeoa unafikiria wote wanafikiria ka wewe, unaongelea watoto mwenzako Hana kizazi huoni ni kumpa machungu.Kweli kabisaa, kuna maswali ukimuuliza mtu hayana maana wala faida wala ustaarabu
Ni asili ya wanadamu kudadisiHyo ya kabila inanichefua kwelikweli eti mbona hufananinii na Hilo kabila lako kuanzia sura, sasa walitaka nifaneneje jamani, aaargh Kuna mwaswali yanakera na bado na kuolewa wewe umeolewa shukuru Mungu.
Mimi sina shida na hayo maswali japo siyapendi, ila ujue ukiniuliza maswali personal ujue nakujibu na kukuuliza swali pia.Watu wanapenda kuulizwa vile vitu wanavyotaka. Nawashauri tu kabla ya maongezi basi wajiwekee parameters za mazungumzo yao. La sivyo akina Mama D na the like waendelee kuwa wavumilivu.
Nadhani amekuelewa sana hapaKabisa kabisa.
Ukitaka kumuelewa mtu usichague maneno ya kusikia toka kwake mpe uhuyu aongee kila anavyoweza.
Kuweni wapole jamani maana maswali mengine huwaga yamebeba bata, bati na bahati.Mimi sina shida na hayo maswali japo siyapendi, ila ujue ukiniuliza maswali personal ujue nakujibu na kukuuliza swali pia.
Una watoto wangapi? Sina, wewe unao wangapi? Ukijibu wawili, nakupa ombi uzae na mimi rasmi bila kificho. Huo ndio msaada wangu
Kwenda zako🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuweni wapole jamani maana maswali mengine huwaga yamebeba bata, bati na bahati.
ShameWadada ambao hamjaolewa ikitokea mtu kakuuliza unaolewa Lin na wewe muulize Ni lini anakufa ili aache kuuliza hayo maswali...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakera Sana wallah, Mimi mtu akitaka nikate mawasiliano ni aanze kunichimba chimba, sijui unafanya kazi gani, umeolewa aaaargh sikujibu.Ni asili ya wanadamu kudadisi
Sijui kama maua haya yatakuelewa maana yalivyochangamka leoMarital status ni muhimu kwenye utoaji wa huduma.
Ni vizuri mtu akikujua ili aone nmna ya kukuhudumia.
Kuna mambo ukiwa single huwrzi kufanya na mambo ukiwa na familia huwezi kufanya.
Mfano: 1. Kuna siku niliwasikia Tumaini na Kiwewe ( hawa ni comedians ) walipelekwa na promoters Morogoro halafu promoter akawa amewachukulia chumba kimoja akidhani ni wapenzi kumbe siyo.
2. Ukitaka kwenda kusoma Ulaya ( mostly ) laxima uulizwe ili wajue kama utarudi au ndio utazamia.
3.Hata hapa Tanzania kusema una familia ni vizuri ili hata likikukuta lote watu wajue wanaanzia wapi.
4. Binafsi hili suala la mahusiano naona linafanana na lile la umri. Kuna watu wao kila mwaka wanapunguza umri. Ukiangalia unaona kabisa kuna stages kwenye maisha hukuzifanya na unaishi kwa GUILTY.
Suala la familia, mahusiano ni NATURE isiyoepukika.
Ukiulizwa kwenye level hiyo ya mawasliano sio tabuMarital status ni muhimu kwenye utoaji wa huduma.
Ni vizuri mtu akikujua ili aone nmna ya kukuhudumia.
Kuna mambo ukiwa single huwrzi kufanya na mambo ukiwa na familia huwezi kufanya.
Mfano: 1. Kuna siku niliwasikia Tumaini na Kiwewe ( hawa ni comedians ) walipelekwa na promoters Morogoro halafu promoter akawa amewachukulia chumba kimoja akidhani ni wapenzi kumbe siyo.
2. Ukitaka kwenda kusoma Ulaya ( mostly ) laxima uulizwe ili wajue kama utarudi au ndio utazamia.
3.Hata hapa Tanzania kusema una familia ni vizuri ili hata likikukuta lote watu wajue wanaanzia wapi.
4. Binafsi hili suala la mahusiano naona linafanana na lile la umri. Kuna watu wao kila mwaka wanapunguza umri. Ukiangalia unaona kabisa kuna stages kwenye maisha hukuzifanya na unaishi kwa GUILTY.
Suala la familia, mahusiano ni NATURE isiyoepukika.
Ili iweje Sasa !? Wakati kila mtu na maisha yakeWengi wanauliza ili wajue umefikia wapi kwenye maisha...
Mambo ya watu siyo mabaya siku zote. Watu ni kama kioo, kuna vitu huvioni wao wanaviona.Ukiulizwa kwenye level hiyo ya mawasliano sio tabu
Shida iko kitaa pale ambako kila mtu anataka uishi anachokiamini yeye
Na hiyo sababu iheshimikeMambo ya watu siyo mabaya siku zote. Watu ni kama kioo, kuna vitu huvioni wao wanaviona.
Ni sawa na Uwanja wa mpira, ukiwa nje unaona sana.
Kwahiyo ukiona watu wanakusema sana maana yake kuna vitu unapaswa kurekebisha Kwasababu watu hao hao ndio unaishi nao.
In short ni kawaida kwa mtu kuwa na familia akishakuwa mtu mzima. Sasa kama hana lazima kutakuwa na sababu.