Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi kwa mtindo wa NATO

Umeleta habari za uongo kabla hata ya mkutano . Mkutano umeisha hakuna cha maana walichofanya.. Qatar yenye viongozi wenye akili hawezi kamwe kushirikiana na wapumbavu Iran.
 
Umejisumbua tu huyo kiingereza hajui
 
Kabla ya kuanza kupigana na Israel waende wakayaone magofu ya Gaza kwanza ndio waamue wanapigana au wanasonya na kupita hivi
Gaza ni kamtaa kalikofungiwa kisiingie chochote bila idhini ya Israel... Chukulia mfano jamhuri ya muungano ya Tanzania ikishirikiana na Marekani ishindwe na wilaya moja ndani ya nchi hii
 
Wewe si unaona mdomo huo. Mtu ashakula kubeli alaf anataka aingie vitani bila silaha wala jeshi. Nimeamini kama kubeli ni zaidi ya bangi aisee.
Qatar na Turkey ni washenzi sana...
Walidhani US/Israel wakijipendekeza watawaona ni wazungu wenzao...
 
Qatar washenzi sana, hawa ndio walikuwa wanadhamini vikundi vya ISIS kuivuuruga middle east, leo hii anatoa mlio, acha apambane na hali yake..
 
Hizo tawala za waarabu zinalindwa na USA.
USA ikiondoa ulinzi wake hao wafalme wataondolewa na wananchi wao kwenye maksri yao ndani ya wiki moja
 
Mbona kilio kinaanza mapema😀


⚡️🇮🇱BREAKING:

Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu:

"Tunaingia katika aina fulani ya kutengwa. Tutazidi kulazimika kuzoea uchumi wenye sifa za kiakili [bila biashara ya nje]. Huenda tukajikuta katika hali ambapo viwanda vyetu vya kutengeneza silaha vimezingirwa, na itatubidi tusitawishe viwanda vya kutengeneza silaha hapa—si tu katika kiwango cha utafiti na maendeleo bali pia na uwezo wa kuzalisha kile tunachohitaji."

Redio ya Jeshi la Israeli: Kufuatia taarifa za Netanyahu kwamba Israeli inaingia kutengwa kiuchumi: Soko la Hisa la Tel Aviv limebadilika na kushuka.

Kiongozi wa upinzani wa Israel Yair Lapid:

"Hii ni kauli ya kichaa. Kutengwa sio amri ya hatima; ni zao la sera potofu na zilizofeli za Netanyahu na serikali yake. Wanaigeuza Israel kuwa nchi ya ulimwengu wa tatu na hawajaribu hata kubadilisha hali hiyo.

Inawezekana vinginevyo. Israeli inaweza kurudi kuwa na mafanikio, mpendwa, na uchumi mzuri wa ulimwengu wa kwanza."


View: https://x.com/suppressednws1/status/1967585267943923965?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
😀😀😀😀

Netanyahu anasema, Iran inaweza kupeleka Makombora ya Hypersonic katika ulimwengu wa Kiislamu yenye umbali wa kilomita 480.
 
Hizo tawala za waarabu zinalindwa na USA.
USA ikiondoa ulinzi wake hao wafalme wataondolewa na wananchi wao kwenye maksri yao ndani ya wiki moja
Wananchi ndiyo hwataki kuisikia Marekani mambo yamebdilika.
 
JUST IN🇪🇬🇮🇱🇶🇦🔥 Egypt plans to designate 'Muslim Brotherhood' as a Resistance group of Qatari, Palestine-Egyptian if Israel bomb Cairo.

🚨 Egypt will lead Arab's largest NATO-style force with US, Chinese and Russian weapons.
 
Waziri Mkuu wa Iraq Mohammed Shia al-Sudani amependekeza jibu la pamoja la usalama la NATO kwa mashambulizi dhidi ya nchi yoyote ya Kiarabu au Kiislamu, ambapo shambulio dhidi ya moja linachukuliwa kama uchokozi dhidi ya wote.

🔴 masasisho ya moja kwa moja: aje.io/9lm4pf
 
Ila nimekuja kugundua watu hata kufanya homework hamuwezi, Qatar ni puppet State mkuu, bila Marekani hakuna nchi hapo
Siyo Qatar pekee wapo wengi hapo middle east Ila kwa sasa wataamka kama India inavyo amka bado wengine hawaelewi waende wapi korea kusini na Japan maana wanaburuzwa mpaka huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…