Mataifa ya waarabu yaanza kuagiza raia wake waondoke Lebanon, huku Israel ikianza maandalizi ya kuifanya Lebanon iwe kama Gaza

Mataifa ya waarabu yaanza kuagiza raia wake waondoke Lebanon, huku Israel ikianza maandalizi ya kuifanya Lebanon iwe kama Gaza

Wewe ujinga wako huoni ulicho kiandika umesema mwaka 2018 ilijulikana Hezbullah anachimba tunnels kuelekea Israel, afu hapo hapo unasema UN walikuwa wanaficha kuwa Hezbullah ha cross blue line, sa unewapeleka wamajeshi wa UNIFIL kwenye tunnels 😄

Sa nikakujibu Israel na Hamasi wote wameongea kuna tunnels, sa ulicho lalamikia nini hapo? Kuwa Hezbullah ana Cross kwenda Israel😄 hivi we akili zako UN unataka wakachungulie au wakatafute tunnels ziko wapi, ikiwa Israel tunnels za Hamasi hazijui ziko wapi, waenda wanajeshi wa UNIFIL ambao wengine wa JWTZ waseme tumeona tunnels kichaa kweli wewe.

Kwa hio Israel yeye ndio anafata sheria za UN kuhusu Lebanon, na wakati wana Cross hio blue line, zile ndege zinafika mpaa South Beirut au zinaishia kwenye blue line haha

We ni mjinga sana.
Wewe jamaa unauelewa mdogo Sana hakuna sehemu amesema UN walificha Bali UN hawakukosoa Wala kuwaonya hezbollah ilhali ushahidi wa uwepo wa tunnels ulitolewa. Sasa wewe unasema sijui raia was israel walisikia ardhini Kuna chimbwa sijui hamas na hezbollah wamekiri uwepo wa tunnel zao na blabla kibao Sasa hao ni UN?. Inaonekana unasoma kwa jadhba ndio maana unapoteza hata uelewa wa Mambo mepesi kabisa kuelewa.
 
Ombea nchi yake ifanye mashambulizi ya kijeshi ikiwa ndani ya nchi hasimu n sio kila mtu kwake kumtungua mwenzie. Israel amekuwa hashikiki, kichwa kigumu sababu sababu hakuna mashambulizi mazito yaliyofanywa ndani ya ardhi yake. Hao hezbinyo sio wanyonge kama wapepestina. Kama kweli wanataka israel yao irudishwe stone age, wathubutu kuingia vita full force na Hao kina hezbinyo. Kanchi chenyewe kalivyo kaduchu, katageuzwa jiji la magofu hivi karibuni. Serikali ya wanyamwez Lebanon ikiivalia hio vita kinjunga, pamoja n hezbinyo n wanahamasa, Israel atakuwa kauruka mzigo wa ngombe n kuangukia uharo wa wanazengo wa mataputapu🥱
Ume andika ushabiki tu kijana
 
mbon
Lebanon iliachia nchi yake itumike na magaidi wa kiislamu, sasa leo hii inapotaka kufanywa kama Gaza, waarabu wanaihama badala ya kubaki wapambane dhidi ya Israel.
==================

The Kuwaiti Foreign Affairs Ministry has called on its citizens who are currently in Lebanon to leave the country due to fears of escalation and the transition to full-scale war between the Hezbollah terrorist organization and Israel.
unaandika kinazi mbon huko israel nako watu washaanza kukimbia kitambo maana kif!ro cha Houthi ft Hezbollah nani atakivumilia?
 
Nia ya Israel nikuondoa kabisa wapalestina ktk hii dunia as long as upo ndani ya palestina yeye ataua mpk amalize na silaha anapata from US and nyingine anatengeneza mwenyewe,shida sio hamas kwakua hajui walipo so anachofanya humo walipojikusanya anadondosha mbomu kwa kutumia drones/rockets
 
Lebanon iliachia nchi yake itumike na magaidi wa kiislamu, sasa leo hii inapotaka kufanywa kama Gaza, waarabu wanaihama badala ya kubaki wapambane dhidi ya Israel.
==================

The Kuwaiti Foreign Affairs Ministry has called on its citizens who are currently in Lebanon to leave the country due to fears of escalation and the transition to full-scale war between the Hezbollah terrorist organization and Israel.
Safi sana israel angamiza magaidi yasiyomjua HELISHEDAY au HELOHIM tupo pamoja
 
Kuna kitu nashangaa waislamu wanasoma '' MALAIKA MTOO ROHO NI ISRAEL'' na hapo hapo ADUI YAO MKUBWA NI ISRAEL lakini allah wao ashawaambia kuwa israel ni mtoa roho lakini wanapingana nae
 
Nia ya Israel nikuondoa kabisa wapalestina ktk hii dunia as long as upo ndani ya palestina yeye ataua mpk amalize na silaha anapata from US and nyingine anatengeneza mwenyewe,shida sio hamas kwakua hajui walipo so anachofanya humo walipojikusanya anadondosha mbomu kwa kutumia drone
Halleluya JESHI LA SIMBA WA YUDA LINAPOTIMBA WATU WANAFARAKANA NA KUKIMBIA WAARABU HAWANA UMOJA HATA KIDUCHU
Canada wako sahihi kuondoka ila maarabu mlipaswa mbaki msikimbie maana wale ni magaidi wa dini yenu na huwa mnapokezana mzuka.
 
Halleluya JESHI LA SIMBA WA YUDA LINAPOTIMBA WATU WANAFARAKANA NA KUKIMBIA WAARABU HAWANA UMOJA HATA KIDUCHU
Sasa mkuu hujui kama wanaofarakana ni waisrael, hujui kwamba netanyahu anetofautiana na baadhi ya viongozi wakuu wa jeshi la israel? Hujui kwa nini gantz kajiuzulu?
unajua kwamba msemaji wa jeshi la israel kwa mara ya kwanza jana kampinga netanyahu wazi wazi kwenye vyombo vya habari hasi serikali ikatoa statement?
Na bado huku wananchi kila siku wanaandamana wanataka uchaguzi ambao netanyahu anaukimbia
 
Sidhani kama Israel atasubutu kugusa Lebanon, ile vita aliyo kusudia kubomoa kila kitu Lebanon. Sababu anafahamu wazi Hezbullah ataigeuza Israel kuliko yeye alivyo ifeuza Lebanon

Hizi target ni very strategies ndio zitakuwa 1st target ya Hezbullah na zikuguswa hizo Israel hana nguvu tena.

View: https://youtu.be/TuwAnMNi_yE?si=s9b00yzBoFKor_kE

US na wafuasi wake hawana kitu watacho fanya zaidi ya kuvunja majumba na barabara za Lebanon 😄
 
Wewe jamaa unauelewa mdogo Sana hakuna sehemu amesema UN walificha Bali UN hawakukosoa Wala kuwaonya hezbollah ilhali ushahidi wa uwepo wa tunnels ulitolewa. Sasa wewe unasema sijui raia was israel walisikia ardhini Kuna chimbwa sijui hamas na hezbollah wamekiri uwepo wa tunnel zao na blabla kibao Sasa hao ni UN?. Inaonekana unasoma kwa jadhba ndio maana unapoteza hata uelewa wa Mambo mepesi kabisa kuelewa.
Wewe labda una akili kama za huyo au wewe unatumia multiple users.

Yeye au wewe alikuwa/ulikuwa anawalaumu/unawalaumu UN hawakuwazuia Hezbullah kucross kwenda Israel , sa we akilini kwako UN watugundua vipi hizo tunnels? Ni jibu kwa njia ipi?

Israel, USA, UK. France, Germany na India wana technology kuliko hao wanajeshi waliopo pale Lebanon wa UNIFIL ambao nimkusanyiko wa wanajeshi nchi tofouti tofouti hata JWTZ wapo na wengi wao ni marafiki wa Israel, waseme tumeona tunnels? Wakati hawakuziona? Israel anasaidiwa na kila technology za USA, UK, France, Germany na India hazioni tunnels za Gaza wazione watu wenye , bunduki tu na army vehicles unless uwe kichaa tu ndio utasema UN walikuwa wana ficha siri 😄

Kuna tofauti kati ya kusema tunnels zipo na kusema tumeziona. Hata Israel anakiri tunnels zipo Lebanon na Gaza ndio kaziona.

Haya UN kakiri zipo kaziona? Simwambie basi amuonyeshe America na Israel hahaha, ujinga mwingine bora muwe mnauficha.

Hezbullah kakiri tunnels zipo siku nyingi sana, sa kukiri na kusema zipo sidhani ndio wengine wataziona.

UN ni tool's ya USA na mapuppets wake sio tool's ya Hezbullah, Hezbullah hawahitaji hao UN, hao walipelekwa kumsaidia Israel ili Hezbullah asisoge hapo kwenye border.

Kosa analo fanya Israel daima kuspy anga la Lebanon au drones zake kushambulia Lebanon UN wako wapi?

Acheni ujinga Israel hawezi mfanya lolote Hezbullah yeye na USA, hio akili ya USA kutisha maraifa mengine kwa Air force na Carriers zimepitwa na wakati.

Target zinangojewa kupigwa na Hezbullah ni hizo hapo wameisha fikishiwa ujumbe USA kabla ya Israel haya tuone kama watazuia zisipigwe.

View: https://youtu.be/TuwAnMNi_yE?si=s9b00yzBoFKor_kE
 
Safari hii hezbollah watabondeka tikitiki, na kama watajititimua kuishambulia israel ndio watazidi kushindiliwa makobora ndani ya lebanon. Lebanon nayo ikijitia wazimu kujibu mashambulizi nayo itasagwasagwa nyang'anyang'a. Lebanon inatakiwa iwatimue hezbollah kama haitaki vita na israel
 
Wewe labda una akili kama za huyo au wewe unatumia multiple users.

Yeye au wewe alikuwa/ulikuwa anawalaumu/unawalaumu UN hawakuwazuia Hezbullah kucross kwenda Israel , sa we akilini kwako UN watugundua vipi hizo tunnels? Ni jibu kwa njia ipi?

Israel, USA, UK. France, Germany na India wana technology kuliko hao wanajeshi waliopo pale Lebanon wa UNIFIL ambao nimkusanyiko wa wanajeshi nchi tofouti tofouti hata JWTZ wapo na wengi wao ni marafiki wa Israel, waseme tumeona tunnels? Wakati hawakuziona? Israel anasaidiwa na kila technology za USA, UK, France, Germany na India hazioni tunnels za Gaza wazione watu wenye , bunduki tu na army vehicles unless uwe kichaa tu ndio utasema UN walikuwa wana ficha siri 😄

Kuna tofauti kati ya kusema tunnels zipo na kusema tumeziona. Hata Israel anakiri tunnels zipo Lebanon na Gaza ndio kaziona.

Haya UN kakiri zipo kaziona? Simwambie basi amuonyeshe America na Israel hahaha, ujinga mwingine bora muwe mnauficha.

Hezbullah kakiri tunnels zipo siku nyingi sana, sa kukiri na kusema zipo sidhani ndio wengine wataziona.

UN ni tool's ya USA na mapuppets wake sio tool's ya Hezbullah, Hezbullah hawahitaji hao UN, hao walipelekwa kumsaidia Israel ili Hezbullah asisoge hapo kwenye border.

Kosa analo fanya Israel daima kuspy anga la Lebanon au drones zake kushambulia Lebanon UN wako wapi?

Acheni ujinga Israel hawezi mfanya lolote Hezbullah yeye na USA, hio akili ya USA kutisha maraifa mengine kwa Air force na Carriers zimepitwa na wakati.

Target zinangojewa kupigwa na Hezbullah ni hizo hapo wameisha fikishiwa ujumbe USA kabla ya Israel haya tuone kama watazuia zisipigwe.

View: https://youtu.be/TuwAnMNi_yE?si=s9b00yzBoFKor_kE

Umeuliza swali la kitoto Sana eti UN watajuaje? Wewe Rudi jukwaa la mapenzi huku siyo size yako kabisa.
 
Umeuliza swali la kitoto Sana eti UN watajuaje? Wewe Rudi jukwaa la mapenzi huku siyo size yako kabisa.
We bwege kweli nani UN kwenye akili yako kama sio huyo USA, nikuambia mna akili za kitoto mnabisha wewe hebu mwambie Tanzania akapitishe sheria UN kama anaweza.

USA akitaka wewe akuite terrorist anaweza na nchi zikakublock usingie kwao.

Kondoo atabaki kuwa kondoo hao UNIFIL wametumwa na nani?

Bora niende kwenye forum ya mapenzi nikakutongozee dada yako, unadhani wote tuna nyege za panzi hapa.
 
Back
Top Bottom