Matajiri wakubwa Tanzania hawana msaada wowote kwa jamii zaidi ya kuinyonya

Riches rules over the poor. Ulitaka wakusaidie nini wakati wao ili wawe matajiri lazima wahakikishe unakuwa kapuku.
 
Umesema kweli...
Nlishuhudia watoto wa Bakharesa wakiendesha Gari za kifahari hapa Bongo.

Kuna haja ya kuwakumbusha waige Mfano watajiri Mengi
Itachukua miaka mingi kupata tajiri aina ya Mengi alitoa misaada bila kujali itikadi za kidini sio km hawa wanaogawa pesa kwenye msikiti wa kwa mtoro.
 
Acha wivu uende mbinguni,,,kama baba yako alikuwa anaishia kukaa kwenye ubanda na kunywa mnazi shauri yako!!!,,,kwani mtoto wa baresa kuendesha gari ya kifahari inakuuma niini??? wewe panya buku nini,,,"ACHA WIVU"
 
Mkuu wao wa unyonyaji ni Lumumba
 
Acha wivu uende mbinguni,,,kama baba yako alikuwa anaishia kukaa kwenye ubanda na kunywa mnazi shauri yako!!!,,,kwani mtoto wa baresa kuendesha gari ya kifahari inakuuma niini??? wewe panya buku nini,,,"ACHA WIVU"
Mkuu ni suala la kueleweshana Wala si kwa Nia mbaya. Sijaomba mtu Hela na Wala si mnyonge kihivyo kama unavyonifikria. Naposema uwajibikaji wa Hawa wafanya biashara wakubwa sijasema watoe pesa mikononi kwa watu ila Nina maanisha wachangie kwenye huduma kama afya elimu ili warudishe fadhira kwa jamii inayotumia bidhaa zao.
 
kama
ni afya jiunge na bima ya afya,kama ni elimu,serikali inatoa elimu bure kuanzia shule za msingi mpaka sekondari,na huko vyuoni kuna mikopo ya serikali"ACHA WIVU"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…