Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Tupo kwenye ulimwengu wa kibepari, wenye nazo ndio wanaojenga viwanda na kutuajiri sisi masikini, tangu lini uliona tajiri kaajiriwa?Vijana mnapopenda kutawaliwa na kulishwa bure kama ma gigolo.
Akulishe , akuajiri akupe mke wakati wewe unafanya nini?
Kabisa na kama malipo yanapatikana. Inabidi wawabane wasimamiaji kuhusu matumizi ya mapato ili pesa zipatikane zal kutta huduma zal kijamiiHili ndio la msingi benefits zinatakiwa kuuliziwa wanakolipa kodi kitu ambacho wa TZ hawawezi.
sa ni za kwao unawapangia matumizi? Wakati Baba yako anacheza dansi DDc mlimani park bakhresa yupo kariakoo anauza maandaziNimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.
Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo Mo foundation imesaidia vijana wangapi kimasomo kama siyo uhuni tu.
Hawawazi kurudisha kwenye jamii kile wanachochukua japo kwa uchache kupitia huduma za afya ama elimu. Mabilioni wanayoyachukua kupitia biashara jamii haipati chochote zaidi ya ajira za ujira mdogo kwa vijana kwenye viwanda vyao.
Hawa matajiri wanatakiwa wasaport elimu kwa kutoa ufadhiri wa masomo angalau kwa vijana wachache, watoe pesa kwa ajili ya matibabu kwa wazee ama lishe kwa watoto na siyo kuchukua tu na kujimilikisha. Wenzako nchi nyingine wanatoa saport kubwa kwenye mambo ya kijamii.
Tunataka kuona mchango wa moja kwa moja wa wafanyabiashara wakubwa kwenye afya, elimu na huduma zingine na siyo kuhusika kwenye michezo na sekta ya entertainment pekee.
Maendeleo yakiwa makubwa Sana mtakuwa hamtawalikiKila kitu kinawezekana; tajiri namba 1-20, wakitumiwa vizuri wanaweza wakaleta maendeleo chanya kwa jamii na uchumi kuimarika.
Mfano:- tajiri namba 1, apewe mkoa wa Dar, Pwani, Tanga, Morogoro; aakikishe mikoa hiyo ina viwanda, mashamba makubwa ya kilimo, uvuvi wa kisasa, ufugaji wa kisasa; hivyo hivyo kwa tajiri namba 2, 3 n.k
Muhimu wapewe mazingira mazuri ya utendaji; na hakika ndani ya muda mfupi maendeleo yatakuwa makubwa sana.
Achaneni na matajr kwanza jikiteni Kwa viongoz mnaowachagua ,baada ya kuwachagua tu wanaanza kuiba pesa na kuweka kweny mabenk ya ughaibuni na wanaishi maisha ya anasa ,,tunaona watot wao wadogo wakifadhili magenge ya wale vijana "machawa" wanawaita kwenye shughuli zao na kuwafanya wageni rasmi watot wadogo ambao Bado hata miaka 15 Bado ... Na wale "machawa" naskia huyo dogo hata hasalimii "shikamoo kaka na dada zangu machawa" ila wao ndo wanasalimia "heshima Yako mkubwa"Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.
Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo Mo foundation imesaidia vijana wangapi kimasomo kama siyo uhuni tu.
Hawawazi kurudisha kwenye jamii kile wanachochukua japo kwa uchache kupitia huduma za afya ama elimu. Mabilioni wanayoyachukua kupitia biashara jamii haipati chochote zaidi ya ajira za ujira mdogo kwa vijana kwenye viwanda vyao.
Hawa matajiri wanatakiwa wasaport elimu kwa kutoa ufadhiri wa masomo angalau kwa vijana wachache, watoe pesa kwa ajili ya matibabu kwa wazee ama lishe kwa watoto na siyo kuchukua tu na kujimilikisha. Wenzako nchi nyingine wanatoa saport kubwa kwenye mambo ya kijamii.
Tunataka kuona mchango wa moja kwa moja wa wafanyabiashara wakubwa kwenye afya, elimu na huduma zingine na siyo kuhusika kwenye michezo na sekta ya entertainment pekee.
Inawezekana hii ikawa ndio mitazamo yetuMaendeleo yakiwa makubwa Sana mtakuwa hamtawaliki
Mkuu asanteeeUMASKINI NI LAANA. Mleta mada ni zaidi ya mpuuzi. Wewe na ukoo wako mmekatazwa kuwa matajiri? Kwa akili kama hizi bado safari ni ndefu kama nchi.
Sio lazima.....Ili upate utajiri lazima utatue matatizo ikiwemo matatizo ya masikini...
Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.
π¦Mimi nimeandika hivi ππSio lazima.....
Matajiri wa hedge funds kwenye financial markets huko hawasolve matatizo ya masikini.... they make the rich even richer
TAjiri yoyote akishakuwa anatoka Afrika au Asia hesabuni maumivu tuNimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.
Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo Mo foundation imesaidia vijana wangapi kimasomo kama siyo uhuni tu.
Hawawazi kurudisha kwenye jamii kile wanachochukua japo kwa uchache kupitia huduma za afya ama elimu. Mabilioni wanayoyachukua kupitia biashara jamii haipati chochote zaidi ya ajira za ujira mdogo kwa vijana kwenye viwanda vyao.
Hawa matajiri wanatakiwa wasaport elimu kwa kutoa ufadhiri wa masomo angalau kwa vijana wachache, watoe pesa kwa ajili ya matibabu kwa wazee ama lishe kwa watoto na siyo kuchukua tu na kujimilikisha. Wenzako nchi nyingine wanatoa saport kubwa kwenye mambo ya kijamii.
Tunataka kuona mchango wa moja kwa moja wa wafanyabiashara wakubwa kwenye afya, elimu na huduma zingine na siyo kuhusika kwenye michezo na sekta ya entertainment pekee.
Good Insight......Ubaltasar wamwachie nani sasa.Kila kitu kinawezekana; tajiri namba 1-20, wakitumiwa vizuri wanaweza wakaleta maendeleo chanya kwa jamii na uchumi kuimarika.
Mfano:- tajiri namba 1, apewe mkoa wa Dar, Pwani, Tanga, Morogoro; aakikishe mikoa hiyo ina viwanda, mashamba makubwa ya kilimo, uvuvi wa kisasa, ufugaji wa kisasa; hivyo hivyo kwa tajiri namba 2, 3 n.k
Muhimu wapewe mazingira mazuri ya utendaji; na hakika ndani ya muda mfupi maendeleo yatakuwa makubwa sana.
Kwani masikini hawezi pata pesa ya kununulia Chakula, Dawa, Nguo, Mbolea n.kKwa kuwauzia huduma au kuwapa bure?