Matajiri wanazidi kuwa matajiri na masikini wanazidi kuwa masikini

Pia inategemea, kama muda mwingi utautumia pekee yako katika kufanya utafiti na kutafakari, lazima uje na wazo lenye tija
ndio lakini elon ana miradi mingi sana michache ninayoijua me ni kama TESLA , SPACE X , TWITTER ss unadhan mtu moja anaweza kufukilia mambo yote ayo kwa wakati moja kama mimi ni mtunzi na muandishi wa riwaya na tamthilia kuna mda nashindwa kufikiria mpaka inapelkea story za wahusika wawil kutaka kufanan .
 
nakumbuka kuhusu michango ya kutoa ili jf iwe hewani hata nami nilishaambiwaga hiyo kitu

ila sasa nataqka kujua hilo neno platnum liko kivipi kwa mtu ambaye ni member?
Platinum ni appreciation kwa anayeendelea kuchangia kila mwaka.

Ile idea ya Bronze member, gold member na silver member waliondoa imebaki Platinum member tu.

Kuna vihera vya ufisadi nitapata siku si nyingi nitawawezesha na Mimi nirudishwe Platinum member, inasaidia sana kutongozea vitoto vya MMU.
 
nakumbuka kuhusu michango ya kutoa ili jf iwe hewani hata nami nilishaambiwaga hiyo kitu

ila sasa nataqka kujua hilo neno platnum liko kivipi kwa mtu ambaye ni member?
ni kama unavyosikia mtu kapewa cheo cha heshima baada ya mchango wake kuleta mafanikio chanya eneo fulani.
 
hahhaaaaaaaaaaa uwiiii aisee Matola umetisha kumbe wakiona hilo neno watoto wanajisongesha aiseeee.
 
Kuwa na timu imara ni muhimu, na hiyo timu unaiunda wewe; ukiwa na watu sahihi na mifumo mizuri, lazima ufike mbali.
 
😁😁😁 nakubal nakubal mkuu lakini nakukumbusha ukimwi upo
 
na verification badge mumeipata baada ya kutimiza sifa zipi hapa JF
Soma hapa mkuu
 
Mshana Jr hana pesa hiyo
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
😁😁😁 kwahiyo kwa vile Mshana Jr mganga wa kienyeji watoto munamuona hana pesa au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…