Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Ellon ni mjanja sana na mtu anayejua akili za binadamu kila kona anagusa alishagusa cryptos akapiga pesa ..akaitelekeza dogecoin ila juzi kati tangu anunue twitter japo hajatoa tamko ramsi ila anaonekana kuipamba kwa kupost logo ya dogecoin ikiwa kama anailink na payment za twitter...sasa ukija kweny soko dogecoin inapanda kwa kasi ..jamaa ni very smart namuelewa mtu wa kick.na ana watu wa maana wamemzunguka siamini elon yeye idea zote anabuni yeye. kuna nyengine anapata kutoka kwa watu waliomzunguka
shukrani mkuuSoma hapa mkuu
Kama anachunika😁😁😁 ili muanze kumchuna
😁😁😁😁hahhaaaaaaaaaa sio mjinga anafanya hivyo ili apate anachokitaka
Unapewa heshima ya kutosha kutoka kwa mods🤣🤣Ukiwa platinum unapata faida gan?
elon mtu na nusuEllon ni mjanja sana na mtu anayejua akili za binadamu kila kona anagusa alishagusa cryptos akapiga pesa ..akaitelekeza dogecoin ila juzi kati tangu anunue twitter japo hajatoa tamko ramsi ila anaonekana kuipamba kwa kupost logo ya dogecoin ikiwa kama anailink na payment za twitter...sasa ukija kweny soko dogecoin inapanda kwa kasi ..jamaa ni very smart namuelewa mtu wa kick.
😁😁🤣Unapewa heshima ya kutosha kutoka kwa mods🤣🤣
Uzi kabla ya kufutwa utapewa taarifa
Muda mwingine uwe unawaza unachoandika mkuuKuna watu wanafatilia hizo status? Kwamba dem akiona platinum member ndio anakuja pm na chupi begani?
🤣🤣🤣 me sipo mshana anamiliki nyuklia ana tembea na pawa bank began🤣🤣🤣🤣 mi Simoooo.
Hiyo supu si itakuwa ina harufu ya mochwari?
🤣🤣🤣 hatari nipate sasa na mimi verification badgeUzi kabla ya kufutwa utapewa taarifa
Hutokula ban kizembe
Na mengineyo🤣
mwakani inshaallah nitatengeneza pesa kupitia wapiUkiweza kucheza vizuri na tabia za binadamu, utatengeneza pesa; wapo wengine ukiwasifia tu, lazima wakupe kibunda; ndio hivyo hivyo hata kwenye teknolojia katika mitandao ya kijamii hutumika.
Fanya chapu mkuu......🤣🤣🤣🤣 hatari nipate sasa na mimi verification badge
Kupitia jamii yako inayokuzunguka; kama wanapenda sana kulewa, wawekee huduma n.kmwakani inshaallah nitatengeneza pesa kupitia wapi
Alipe na kodi sasa ,yeye na mwenzake bezos ni vinara wa kukwepa kodi na kulialia kama watoto wakati wanabebwa na government privelled contracts bado wanapewa subsidies na mikopo ya bei nafuu toka federal government yet hawataki lipa kodi ,kila siku visingizio , huu mzigo wote anabebeshwa raia wa Marekani kwa kuminywa kodi kubwa .Elon Musk tajiri Mpya wa Twitter amesema watu ambao wako Verified huko Twitter watalipia Tsh 19,000 kwa mwezi na sio Tsh 46,000 tena. Wakishindwa kulipa wataondolewa Verification badge ( Blue tick). Pia amesema mtu yoyote yule atakaye kuwa tayari kulipia kiasi hicho naye atakuwa Verified.
Kwa haraka haraka hii ni mbinu ya Elon kurudisha zile pesa zake ambazo ametumia kununulia Mtandao wa Twitter.
Elon Musk alinunua Twitter kwa $44b.
Ikiwa watumiaji watalipa $ 8/m kwa mwaka itakuwa;
Kwa watumiaji milioni 10 $0.96b
Kwa watumiaji milioni 100 $9.6b
Twitter ina watumiaji 397.5m wanaofanya kazi.
Ikiwa watumiaji milioni 200 pekee watalipa, watazalisha $19.2b kila mwaka
Katika miaka 3 - 4 ijayo itatengeneza zaidi ya $60b kila mwaka.
Sasa kupitia mpango wa Elon musk tunatakiwa kujifunza kuwa kuna pesa nyingi sana imejificha kwenye Technology ( Simu & Mitandao yake).
😁🤣🤣 nishatuma ombi nawsubiri wakuu ss wanibless kijana wao ☑️☑️☑️😁Fanya chapu mkuu......🤣
Uheshimikee
Mimi nataka kuzalisha pesa kupitia kwa kila mtu wenye simu na wenye umeme nyumbani kwakeKupitia jamii yako inayokuzunguka; kama wanapenda sana kulewa, wawekee huduma n.k